GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,579
- 127,919
- Thread starter
- #101
Oyoooo nakucheesha mpaka raa mwanaume uwe wewe ? unajaa upepo kama tube ? waandika kama risala ulie mtataja anahusikaje kwa mfano ? povuuuuuuuuuuuu sehem ya pili ila fupisha waandika sana mdozodozo
Nyota yangu ya ' Charismatic ' ndiyo inakutesa. Nisalimie huyo Mzee wa Yanga Fundi nguo Kilema hapo jirani na unapoishi na nyuma yako kuna hiyo Shell ya OILCOM. ID's zako zote 7 nazijua na ndiyo nazidi tu ' kukudharau ' Mkuu kwani kwa jinsi unavyoniogopa inakubidi unishambulie kwa ID's zako zote lakini MWANAMUME nakujibu na hii hii ID. Umasikini wa akili ni mbaya sana na nakuomba usiache kunichukia na kunipiga ' majungu ' kwani unanifanya nizidi kuwa ' imara '.