Kwanini ukimtongoza Mwanamke msibani unafanikiwa haraka?

Kwanini ukimtongoza Mwanamke msibani unafanikiwa haraka?

Sasa bahati mbaya au sijui nzuri hiyo hali imeotokea hapa hapa Dar es Salaam na hivi ninavyoandika hivi ndiyo nimerudi kutoka ' kukesha ' na jioni ' tunazika ' ila mida ya Saa 5 hivi kuna Mdada mmoja ' anaileta ' mwenyewe ghetto ' nishiriki ' nayo. Nilimtongoza usiku baada ya kuona kila mara anahudumia hudumia mara anajipitisha jipitisha upande tuliokaa ' Madume ' na nikaona si vibaya nikijaribu bahati yangu na bahati nzuri ikawa ' imoooooooooooo.... '.
Hiv upo siriaz au changamsha genge?
 
Ngoja na wewe ukifa
Nije kumtongoza mkeo na wanao.

Kila ulichomfanyia mwenzio
Kumbuka na wewe ipo siku utafanyiwa tu.

Hilo suala halipingiki
Just what its.....
 
Watakuwa misiba na wanawake wa mikoani,hasa wakisikia una kaarufu cha kuishi mjini Dar lazima wakukubalie
Dar kuna nini cha ajabu?mbona huko ndiko mwanaume hana sababu ya kuumiza kichwa the way wanawake wa Dar walivyo malaya tena wengi wao wanavaa nguo laini za kuwavuta wanaume kwa kisingizio cha joto.Kwa taarifa yako wanawake wa mikoani 90% ni waoga sana na wana aibu tofauti na hao wa Dar unaowaona wajanja wakati kutongozwa kwao ni kawaida sana na wanalichukulia suala hilo kama mtaji
 
mtoa post naunga mkono moja kwa moja.....hii hali ya wanawake kujirahisi
misibani ipo sana.

Akhsante kwa ' ushuhuda ' wako Mkuu kwani kuna ' mijitu ' kama kawaida yako na roho zao za ' korosho na husuda ' kwangu walidhani nimeanzisha tu huu ' uzi ' kama kufurahisha ' genge ' wakati kumbe kiuhalisia nimeleta kitu ambacho ni cha kweli na kipo. Mimi % kubwa ya Mademu ' ninaowabandua ' huwa ' nawadakia ' misibani na nimekuwa nikijiuliza sana hili swali ni kwanini na ndiyo maana leo ( jana ) nikaamua ' kutiririka ' nalo. Tatizo Watu humu JF ' wanakariri ' tu na hawajui tu kuwa huwa nina muda wa ' ukomedi ' humu lakini sometimes huwa naleta jambo very ' sensitive ' na naliwasilisha kwa lugha ' rafiki ' iliyojaa lots of ' anecdotes '.
 
machiz mengine yanajidai smart inahitaji nguvu ya ziada kuwabaini

Na hata kubadili badili ID kila mara na kwenyewe pia ni aina ya ' uchizi ' tena wa ' kutukuka ' kabisa na kama haitoshi ni ' ishara ' tosha pia kuna ' vimelea vimelea ' vya wale akina Dada wa ' Ohio '. Halafu ifike muda tu Mtu uwe unakubali kuwa fulani amekuzidi kuliko kuonyesha ' chuki ' zako kwani hata ujitahidi vipi bado huwezi kufikia kule ' nilipobarikiwa ' napo. Sasa kama ' uzi ' wa Chizi mbona unachangamkiwa na Watu wana ' tiririka ' nao tu? Kwahiyo na Wao ( You inclusive ) mnaoujibu na nyie pia ni machizi? Nakudharau sana halafu bahati nzuri nakufahamu ' kindakindaki ' ila nakustahi tu. Vipi leo na yule mwenzio Mrs ( wajina ) wako yupo wapi? Utanichukia na mtanichukia ila Mwanaume nachanja mbuga tu!
 
Sasa Mimi ninayekwenda ' kutongoza ' tu na wale wanaokwenda ' kudoea msosi ', ' kuiba ' na kupiga ' majungu ' nani ana afadhali?
team yenu ni moja hahaha, majukumu tofauti..... natania bana, ila sehemu gani nyingine ulifanya tafiti yako labda stand ya mabasi e,t.c? cuz inawezekana tu unapiga sound fresh na kuhonga, na msibani kunakuwa na muda wa kukutosha.Pia haujatuambia wastani wa umri wa uliowapata, status zao kama wameolewa au la,wanafunzi n.k Inawezekana pia ukawa unawajua victims wako and you select them....hahaha haya mambo aisee
 
Mada zako zinakuwaga tofauti sana na mawazo ya kawaida. Mfano hili la msibani sijawahi hata kusikia mtu akiliongelea hata kwa matani
 
Dar kuna nini cha ajabu?mbona huko ndiko mwanaume hana sababu ya kuumiza kichwa the way wanawake wa Dar walivyo malaya tena wengi wao wanavaa nguo laini za kuwavuta wanaume kwa kisingizio cha joto.Kwa taarifa yako wanawake wa mikoani 90% ni waoga sana na wana aibu tofauti na hao wa Dar unaowaona wajanja wakati kutongozwa kwao ni kawaida sana na wanalichukulia suala hilo kama mtaji
Sawa baba mchungaji...
Mcha mungu...

Njoo basi na wewe huku dar uhubiri injili takatifu.

[emoji16] [emoji16] [emoji95] [emoji95] [emoji379]
 
team yenu ni moja hahaha, majukumu tofauti..... natania bana, ila sehemu gani nyingine ulifanya tafiti yako labda stand ya mabasi e,t.c? cuz inawezekana tu unapiga sound fresh na kuhonga, na msibani kunakuwa na muda wa kukutosha.Pia haujatuambia wastani wa umri wa uliowapata, status zao kama wameolewa au la,wanafunzi n.k Inawezekana pia ukawa unawajua victims wako and you select them....hahaha haya mambo aisee

Why are you too demographic? Halafu unaonekana hata University ulifanya B.A. in Sociology kwani post yako imelenga katika ' factors ' muhimu na za ' Kishosholojia ' zaidi.
 
Back
Top Bottom