Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
Mkuu nakushauri subiri ufe halafu utongoze utapata papuchi nyingi mno! 😛 😛 🙂 🙂
😛 😛 😛 Duh aisee kuna watu mmepinda kama upinde, Hadi msibani?
Mkuu hakuna ukweli kuhusu hili ila mambo mengi yanaenda na nyota ata me kwenye biashara yangu kama kuna siku umeanza na mteja wakununua vitu vingi basi siku hiyo ujue kuna upepo wateja wataokuja watanunua bidhaa nyingi sasa inawezekana wewe kuna demu ulimbahatisha msibani basi upepo upo hivyo kwako ni rahis kupata dem msibani kwamaana hiyo ni ngumu kwa mtu mwingine kupata ipo hivyo mkuuKufanikiwa Kwangu huku kutongoza Mademu Misibani kumenifanya kila siku nijikite kutaka kujua ni wapi kuna Msiba kwani kwa Takwimu yangu hadi sasa kati ya Wanawake 81 niliowatongoza tukiwa katika Misiba mbalimbali 79 kati yao nimebahatika ' kushiriki ' nao na hao Wawili tu ndiyo wamenipiga ' dochi '.
Huku nikidhani kuwa labda ni Mimi tu peke yangu ndiyo niliyekumbana au ninayekumbana na haya kuna Mdau mwingine yeye nadhani ndiyo kaweka rekodi ya ' kutukuka ' kwani anasema mpaka jana ameshatongoza ' Mademu ' 189 tangia aanze kuhudhuria ' misiba ' mbalimbali tokea alipo ' balehe ' na amesha ' shiriki ' nao wote hao 189.
Hivyo basi naomba kuwaulizeni ' Wadau ' ni kwanini huwa ni rahisi sana kutongoza ' mademu ' mkiwa misibani kuliko maeneo yoyote halafu hata hao Mademu ( Wanawake ) wenyewe huwa ' wanajirahisi ' mno na ni ' nadra ' kukukatalia?
ANGALIZO.
Tafadhali hapa simaanishi wale ' Wafiwa ' bali namaanisha wale ambao wanakuwa wanahudhuria ule ' msiba ' husika au kwa lugha nyepesi wanaitwa ' wageni waombolezaji '.
Naomba kuwasilisha.
Khaaaaa!!! Kumbe watu wanaenda misibani kwa mengi..........
Nyege zinasumbua hii nchi.
Mkuu hakuna ukweli kuhusu hili ila mambo mengi yanaenda na nyota ata me kwenye biashara yangu kama kuna siku umeanza na mteja wakununua vitu vingi basi siku hiyo ujue kuna upepo wateja wataokuja watanunua bidhaa nyingi sasa inawezekana wewe kuna demu ulimbahatisha msibani basi upepo upo hivyo kwako ni rahis kupata dem msibani kwamaana hiyo ni ngumu kwa mtu mwingine kupata ipo hivyo mkuu
Bado una safari ndefu ya kujua nini maana ya papuchiBaada ya kuwa na orodha ndefu ya watu uliowagegeda faida yake nn?
Au mwenzangu umeweza kujenga nyumba ya ghorofa kupitia hao wanawake?
Kiukweli mm tangia nizaliwe mpaka hapa nilipo nilikutana nao kimwili ni 2. Sitaki niongeze zaid ya hapo.
Waliofikisha papuchi 60 wamepata faida gani?Bado una safari ndefu ya kujua nini maana ya papuchi
Acha udomo zege ....Ndiyo maana yake ya nini tuteseke kupiga ' nyeto ' wakati ' misibani ' huko ' nyuchi ' ni za ' kumwaga ' tu Mkuu?