Kwanini ukimtongoza Mwanamke msibani unafanikiwa haraka?

Kwanini ukimtongoza Mwanamke msibani unafanikiwa haraka?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,453
Reaction score
127,633
Kufanikiwa Kwangu huku kutongoza Mademu Misibani kumenifanya kila siku nijikite kutaka kujua ni wapi kuna Msiba kwani kwa Takwimu yangu hadi sasa kati ya Wanawake 81 niliowatongoza tukiwa katika Misiba mbalimbali 79 kati yao nimebahatika ' kushiriki ' nao na hao Wawili tu ndiyo wamenipiga ' dochi '.

Huku nikidhani kuwa labda ni Mimi tu peke yangu ndiyo niliyekumbana au ninayekumbana na haya kuna Mdau mwingine yeye nadhani ndiyo kaweka rekodi ya ' kutukuka ' kwani anasema mpaka jana ameshatongoza ' Mademu ' 189 tangia aanze kuhudhuria ' misiba ' mbalimbali tokea alipo ' balehe ' na amesha ' shiriki ' nao wote hao 189.

Hivyo basi naomba kuwaulizeni ' Wadau ' ni kwanini huwa ni rahisi sana kutongoza ' mademu ' mkiwa misibani kuliko maeneo yoyote halafu hata hao Mademu ( Wanawake ) wenyewe huwa ' wanajirahisi ' mno na ni ' nadra ' kukukatalia?

ANGALIZO.

Tafadhali hapa simaanishi wale ' Wafiwa ' bali namaanisha wale ambao wanakuwa wanahudhuria ule ' msiba ' husika au kwa lugha nyepesi wanaitwa ' wageni waombolezaji '.

Naomba kuwasilisha.
 
Hahhha,nadhani ule mentality ya ulipewa bure nawe toa bure Mungu anakuona huwa inakua dominant sana kipindi hiki
ingawa tukija kimaadili,anahisi kuwa bila shaka una element za utu na busara kwa kuwa unahudhuria misibani,na ikumbukwe kua 85% ya wanawake unapoanza nae uhusiano huwa anafikiria ndoa moja kwa moja sio kugegedwa na kuachwa,so anahisi unaweza kua na viashiria vya mume bora
 
Watakuwa misiba na wanawake wa mikoani,hasa wakisikia una kaarufu cha kuishi mjini Dar lazima wakukubalie

Sasa bahati mbaya au sijui nzuri hiyo hali imeotokea hapa hapa Dar es Salaam na hivi ninavyoandika hivi ndiyo nimerudi kutoka ' kukesha ' na jioni ' tunazika ' ila mida ya Saa 5 hivi kuna Mdada mmoja ' anaileta ' mwenyewe ghetto ' nishiriki ' nayo. Nilimtongoza usiku baada ya kuona kila mara anahudumia hudumia mara anajipitisha jipitisha upande tuliokaa ' Madume ' na nikaona si vibaya nikijaribu bahati yangu na bahati nzuri ikawa ' imoooooooooooo.... '.
 
Hata na mimi nilisikiaga hivyo ila sijui kwa nini?

Mkuu huwezi amini yaani huwa ' nawadaka ' wengi mno humu ' misibani ' tena ni ' Mademu ' wenye akili zao ' timamu ' kabisa na wenye maisha yao tu. Sijui huwa wanakuwa na ' pepo ' gani wawapo ' misibani '.
 
Back
Top Bottom