Kwanini ukimtongoza Mwanamke msibani unafanikiwa haraka?

Kwanini ukimtongoza Mwanamke msibani unafanikiwa haraka?

Mada zako zinakuwaga tofauti sana na mawazo ya kawaida. Mfano hili la msibani sijawahi hata kusikia mtu akiliongelea hata kwa matani

Na ndiyo maana nikabatizwa jina la GENTAMYCINE Le Mathematicien Mkuu.
 
Hiyo ni professional yenu unatuuliza sisi tukujibu nn zaidi ya wewe kutoa ripoti ya Huo uchafu wako kwenye majibu ya aids mnakaa nayo kapuni esabu za ugoni hewani.
 
Tanzania yetu kwa Bahati mbaya ndiyo imejaa watu wenye akili kama ya mtoa Uzi..huu....ni tatizo hasa
 
Akhsante kwa ' ushuhuda ' wako Mkuu kwani kuna ' mijitu ' kama kawaida yako na roho zao za ' korosho na husuda ' kwangu walidhani nimeanzisha tu huu ' uzi ' kama kufurahisha ' genge ' wakati kumbe kiuhalisia nimeleta kitu ambacho ni cha kweli na kipo. Mimi % kubwa ya Mademu ' ninaowabandua ' huwa ' nawadakia ' misibani na nimekuwa nikijiuliza sana hili swali ni kwanini na ndiyo maana leo ( jana ) nikaamua ' kutiririka ' nalo. Tatizo Watu humu JF ' wanakariri ' tu na hawajui tu kuwa huwa nina muda wa ' ukomedi ' humu lakini sometimes huwa naleta jambo very ' sensitive ' na naliwasilisha kwa lugha ' rafiki ' iliyojaa lots of ' anecdotes '.
Mi nawasi wasi hata mke wako ulimpatia msibani
 
Hiyo ni professional yenu unatuuliza sisi tukujibu nn zaidi ya wewe kutoa ripoti ya Huo uchafu wako kwenye majibu ya aids mnakaa nayo kapuni esabu za ugoni hewani.

Mkuu ' hasira ' au ' mapovu ' ya nini?
 
Tanzania yetu kwa Bahati mbaya ndiyo imejaa watu wenye akili kama ya mtoa Uzi..huu....ni tatizo hasa

Ila kuna ' utafiti ' wa kwanza kabisa ulisema kuwa 100% ya Watanzania wanatumia 1% ya kufikiri na zile 99% zinatumiwa na wa nchi zingine. Je Wewe Mkuu siyo Mtanzania mwenzetu? Nafurahi ' kuchati ' na Mtanzania mwenzangu tunayefanana IQ zetu za 1%.
 
We koma! Shemeji yako nilimpatia Kanisani wakati nimejiunga na uimbaji wa ' Kwaya ' yeye akiimba sauti ya kwanza na mimi nikiimba ya nne.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tumegusa penyewe nn?
Mbona povu
 
Msibani means kuna mtu kalala for good....na sababu unataka kulala na mwanamke kulala ndio nature yake...basi mlalo wa aliyelala unavunja mioyo ya mlalwaji.
nimeipenda hii theory yako
 
Kweli kuna watu wamepanic au wamechanganyikiwa sanaaa. Yaan mtu unaenda msibani kisa kutongoza .
In the other hand kwenye msiba wanawake wanakuwa katika low point sana so wanakuwa weak sana na rahisi kuwashawishi na wakakubali
 
Kufanikiwa Kwangu huku kutongoza Mademu Misibani kumenifanya kila siku nijikite kutaka kujua ni wapi kuna Msiba kwani kwa Takwimu yangu hadi sasa kati ya Wanawake 81 niliowatongoza tukiwa katika Misiba mbalimbali 79 kati yao nimebahatika ' kushiriki ' nao na hao Wawili tu ndiyo wamenipiga ' dochi '.

Huku nikidhani kuwa labda ni Mimi tu peke yangu ndiyo niliyekumbana au ninayekumbana na haya kuna Mdau mwingine yeye nadhani ndiyo kaweka rekodi ya ' kutukuka ' kwani anasema mpaka jana ameshatongoza ' Mademu ' 189 tangia aanze kuhudhuria ' misiba ' mbalimbali tokea alipo ' balehe ' na amesha ' shiriki ' nao wote hao 189.

Hivyo basi naomba kuwaulizeni ' Wadau ' ni kwanini huwa ni rahisi sana kutongoza ' mademu ' mkiwa misibani kuliko maeneo yoyote halafu hata hao Mademu ( Wanawake ) wenyewe huwa ' wanajirahisi ' mno na ni ' nadra ' kukukatalia?

ANGALIZO.


Tafadhali hapa simaanishi wale ' Wafiwa ' bali namaanisha wale ambao wanakuwa wanahudhuria ule ' msiba ' husika au kwa lugha nyepesi wanaitwa ' wageni waombolezaji '.

Naomba kuwasilisha.
Hata hvyo sasa hv kumtongoza mwanamke face to face na akakukataa nenda kaoge dawa.hata isipokua msibani mkuu!
 
Thubutu yako...!

images
 
Na hata kubadili badili ID kila mara na kwenyewe pia ni aina ya ' uchizi ' tena wa ' kutukuka ' kabisa na kama haitoshi ni ' ishara ' tosha pia kuna ' vimelea vimelea ' vya wale akina Dada wa ' Ohio '. Halafu ifike muda tu Mtu uwe unakubali kuwa fulani amekuzidi kuliko kuonyesha ' chuki ' zako kwani hata ujitahidi vipi bado huwezi kufikia kule ' nilipobarikiwa ' napo. Sasa kama ' uzi ' wa Chizi mbona unachangamkiwa na Watu wana ' tiririka ' nao tu? Kwahiyo na Wao ( You inclusive ) mnaoujibu na nyie pia ni machizi? Nakudharau sana halafu bahati nzuri nakufahamu ' kindakindaki ' ila nakustahi tu. Vipi leo na yule mwenzio Mrs ( wajina ) wako yupo wapi? Utanichukia na mtanichukia ila Mwanaume nachanja mbuga tu!

Oyoooo nakucheesha mpaka raa mwanaume uwe wewe ? unajaa upepo kama tube ? waandika kama risala ulie mtataja anahusikaje kwa mfano ? povuuuuuuuuuuuu sehem ya pili ila fupisha waandika sana mdozodozo
 
Back
Top Bottom