Kwanini UKAWA itashinda kesi ya umeya Kinondoni

Jamani mimi nimeishia la 3B naombeni nikawe wakili wa Ukawa kwenye kesi hii na ninaomba Wakili wa serikali awe na PhD nikamtoe mkuku mahakamani ,naomba msimsumbue Tundu Lisu kwa kesi hii
Mwanasheria Tundu Lissu lazima awepo akishirikiana na wanasheria wengine wa chama watakuwepo .
 
Katiba yenyewe nani atakuruhusu uipate unacheza na CCM.....
Ile rasimu ya Warioba ikifanikiwa kupita ndo utakuwa mwisho wa CCM wananchi wakiamua wanaweza .Hakuna nguvu ya umma iliwahi kushindwa.
 
Ile rasimu ya Warioba ikifanikiwa kupita ndo utakuwa mwisho wa CCM wananchi wakiamua wanaweza .Hakuna nguvu ya umma iliwahi kushindwa.
Mkuu mi mwenyewe napenda iwe hivyo ila kwa style hii ya sasa hatuitoi CCM amini usiamini. Labda style ibadilike.
 
Mkuu mi mwenyewe napenda iwe hivyo ila kwa style hii ya sasa hatuitoi CCM amini usiamini. Labda style ibadilike.
Kweli kabisa naamini bila TUME HURU ya Uchaguzi na KATIBA MPYA haya maharamia hayawezi kuondoka
 
Labda sijui hesabu. Endapo wajumbe waliopaswa in 34 lakini CDM wakatoka wakabaki 18 was CCM hata wangebaki hao was CDM kumbe CCM wangeshinda maana walikuwa 18. Kumbe CDM walijitoa wakijua watashindwa
Soma uelewe dogo. Kukurupuka kuandika ni kujivua Nguo hadharani. Wajumbe halali wa Lumumba ni 14 tu. Wajumbe 4 ni haramu kisheria. Hivyo hakukuwa na uwezekano wowote wa Lumumba kushinda uchaguzi ule.
 
Hiyo kesi itavutwa hadi 2020..kwani washaifungua au story?? Wapinzani wanatuchosha tu wamezubaa siku hizi
 
Hiyo kesi itavutwa hadi 2020..kwani washaifungua au story?? Wapinzani wanatuchosha tu wamezubaa siku hizi
kuna hatua za kisheria zinaendelea mpaka kesho watakuwa wameshakamilisha.
 
Tuombe iwe hivyo!! Maana Mahakama nayo inaweza kuvishwa. Majoho ya madiwani kumi wa ccm! Hapo badala ya 18 wakafikia 28! Mbona mbunge wa tanga alipiga kura Arusha? Tuombe tu ccm wasiamue kumtumia mwenyekiti wao!! Maana kwa mujibu wa statement yake pale kinyerezi 1 wapinzani ni wow!woh woh,d-o-g-s
Kila kitu kipo wazi kabisa labda wafanye maamuzi kwa maelekezo.
 
Hivi mshauri wa mambo ya kisheria wa serikali hii ya viwanda ni nani, au ni huyu Mchecheto Masajuzi. Kama ndiye, hawafai hata kidogo. Ona sasa wanavyoenda kupigwa pale Kisutu.
 
Nimeshasema juu ya hili figisu ya meya wa kinondoni sitaongea chochote, nitaweka akiba ya maneno ili nisiharibu mipango yangu nitakayoikamilisha kwa mikono yangu miwili sitaki hata msaidizi.
 
Labda sijui hesabu. Endapo wajumbe waliopaswa in 34 lakini CDM wakatoka wakabaki 18 was CCM hata wangebaki hao was CDM kumbe CCM wangeshinda maana walikuwa 18. Kumbe CDM walijitoa wakijua watashindwa
Umeishia darasa la ngap au kidato cha ngap?wajumbe wa CDM wapo 20,ccm walikuwa wanashinda vp
 
Labda sijui hesabu. Endapo wajumbe waliopaswa in 34 lakini CDM wakatoka wakabaki 18 was CCM hata wangebaki hao was CDM kumbe CCM wangeshinda maana walikuwa 18. Kumbe CDM walijitoa wakijua watashindwa
Inaelekea ww umejifunza madrassa
 
Back
Top Bottom