Chai hii😀☕☕☕... njia yake kuu ya ueneaji ni 'touch' ambayo inakuwa na nguvu zaidi sehemu zenye 'atmospheric moisture' kubwa inayofanya na Ngozi nayo kuwa chepechepe!
😅
Kwamba ugonjwa kama Ebola unaweza fichwa ukafichika?kuna mengine serikali inafanya siri.sema tu unakuwa ufahamu yaliyomo.
kama mlivodanganywa na marehemu kuwa uviko-19 kaombea kwa mungu ukaondoka kipindi kile
Kwahiyo congo Huwa hakuna vifo vitokanavyo na Ebola Bali ni propaganda?Hizo zinakuaga ni propaganda za western kuingilia au kutafuta pretext ya kuingilia mambo fulani ya DRC!!….
Ni sawa ukisikia wanaingia kupambana na ugaidi ambao wao wenyewe ndo wanaufadhili
... Tayari nimeishajua unatoka viunga vya Katerero na mto Ngono! ... POLE!Chai hii😀☕☕☕
tofautisha vifo na pretext!!Kwahiyo congo Huwa hakuna vifo vitokanavyo na Ebola Bali ni propaganda?
"Touch", "Atmospheric moisture", " Chepechepe"☕☕😀!!!!... Tayari nimeishajua unatoka viunga vya Katerero na mto Ngono!... POLE!
😅
Kwamba Huwa wanapandikiza HOFU Kisha vifo vinatokea? Au tuseme Huwa virus Huwa wako kwenye briefcase zao?tofautisha vifo na pretext!!
Wakisema watu wameuliwa na magaidi wanakuaga hamna aliyekufa??
Vifo vipo na wanaokufa wanakuepo lakini ugonjwa huwa n wakutengeneza ili utumike na si naturally!
Chukulia kama ilivo kua covid
Umeelewa vibaya,Ukisikia uchawi ndo huu sasa. Ina maana unaomba hiyo balaa itufikie na siye? Huo ugonjwa huwa haumpi nafasi ya mtu kusafiri nao mbali, huwa unamaliza biashara mapema!
KAZI ya Mwenge ni kuwafanya watu wawe wazubaifu na waoga kudai HAKI zao, Hauna KAZI ingine ya ziada!!Kama ulikuwa hujui kaz ya Mwenge ndo vitu kama hivi Sasa
mkuu we ni ngumu kukuelewesha shida huelewi chochote !! Jifunze kwanza mambo ya geopolitics.Kwamba Huwa wanapandikiza HOFU Kisha vifo vinatokea? Au tuseme Huwa virus Huwa wako kwenye briefcase zao?
Unashauri nitumie njia Gani Ili watu wanaoijua waongee hapa?mkuu we ni ngumu kukuelewesha shida huelewi chochote !! Jifunze kwanza mambo ya geopolitics.
Ndio utajua vizuri unaonekana uko total blind
Na wanaojua hawawezi kuongea hapa..,, Niulize why tena🤔
😂😂😂bro una miaka mingap?? really??Unashauri nitumie njia Gani Ili watu wanaoijua waongee hapa?
Ikiwa Kuna Hila ndani ya ugonjwa huo, huoni huruma Kwa ndugu zetu wakongo Ili tujue njia njema kuwasaidia?
Mfano wewe,😂😂😂bro una miaka mingap?? really??
Ok Kuna njia nyingi za kuvuta watu wenye weredi kwene uzi wako!
1.Lazima uwe unajua unachoelezea au unachouliza atleast 60%
Hii inamaanisha uandike nondo na uwe deep.
Hapo hujitokeza kukosoa, kuchangia, au kuboresha.
2.Uwe n blind kubwa au coporation ya news then una invite known expert kwene field husika kama zinavofanya media kubwa then zinawahoji.
mfano bbc, cnn, al jazeera
3.Uwe na pesa kufanya consultation kwa ajili ya kujadili au kushauri kitu husika kwa field husika njia n nyingi.
Otherwise utapata walopokaji na wachangiaji wa kupoteza muda,wasiojua chochote nao wamekuja kusikiliza
Actually njia ni nyingi lakin other wise No.
Ndo maana hata wenye idea za hela hawashei na masikini. Watu wanafanya kitu ili kugain not otherwise
Usiogope, Point of entry surveillance system ya nchi yetu ipo juu sana. Any case can be picked hata kabla ya kufika nchiniSalaam, shalom!!
Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na kuingia DRC?
Karibuni Kwa majibu🙏
Mfano wewe,
Unauza hizo taarifa Bei Gani, nione kama naweza kuafford!!
120k kwa saa1
Ndio nataka kujua japo Kwa uchache jinsi tulivyo Imara Ili nimshukuru zaidi Mungu Kwa kuniweka katika pande hili la ardhi lililobarikiwa sana!!Usiogope, Point of entry surveillance system ya nchi yetu ipo juu sana. Any case can be picked hata kabla ya kufika nchini
Oh,Oh; we Rabbon tema mate hapo chini. Wacha bhana mambo hizi unaweza kumshtua huyo mzimu wa Ebola na katika kukurupuka kwake akaingia Tz. Usituombee hilo aisee. Acha likae huko liliko na liishie huko huko.Salaam, shalom!!
Kama mada inavyojieleza, mwandishi angependa kupata majibu sahihi ya kisayansi, Kwanini ugonjwa huu wa kuambukiza huwa hauvuki mipaka japokuwa watu huvuka kuja Tanzania na kuingia DRC?
Karibuni Kwa majibu🙏
Kumbe hii kitu ina manufaa makubwa sana kwa taifa!Kama ulikuwa hujui kaz ya Mwenge ndo vitu kama hivi Sasa
No, umeelewa vibaya!!Oh,Oh; we Rabbon tema mate hapo chini. Wacha bhana mambo hizi unaweza kumshtua huyo mzimu wa Ebola na katika kukurupuka kwake akaingia Tz. Usituombee hilo aisee. Acha likae huko liliko na liishie huko huko.