chiefnyumbanitu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 906
- 426
Madawa tayari kashateuliwa kamishna Siangaa.... na anafanya kazi yake kitaalam zaidi bila chuki , husda wala sifa...Poleni na majukumu wana jf. Kila kukicha sikosi kuona uzi wa member kuzungumzia vyeti vya PAUL MAKONDA mpaka hufikia kuchoshwa na swala hili la nyeti.
Sasa nimewaza kwanini tusiache kwanza mambo ya vyeti tukajikita kwa maswala yale ya madawa maana naona kama mmemkatisha tamaa ya hatua nyingne ya kuwataja wale ambao alisema akimtaja mtu habahatishi.
Yawezekana waliyotajwa wanapiga madogo kwa kujihami??
ni wazo tu karibuni tujadili hili. Asanteni.
Mkuu ujue nmewaza baada ya kuona kama swala la madawa linapotea vile?Kwani umeambiwa vyeti vikifuatiliwa madawa tutaacha kuyafuatilia?
Unajua kwa nini suala la madawa linatakiwa liendelezwe,lakini kwanza la Bashite lieleweke?Mkuu ujue nmewaza baada ya kuona kama swala la madawa linapotea vile?
vyote vinakwenda pamoja..wote ni uhalifu!Poleni na majukumu wana jf. Kila kukicha sikosi kuona uzi wa member kuzungumzia vyeti vya PAUL MAKONDA mpaka hufikia kuchoshwa na swala hili la nyeti.
Sasa nimewaza kwanini tusiache kwanza mambo ya vyeti tukajikita kwa maswala yale ya madawa maana naona kama mmemkatisha tamaa ya hatua nyingne ya kuwataja wale ambao alisema akimtaja mtu habahatishi.
Yawezekana waliyotajwa wanapiga madogo kwa kujihami??
ni wazo tu karibuni tujadili hili. Asanteni.
Poleni na majukumu wana jf. Kila kukicha sikosi kuona uzi wa member kuzungumzia vyeti vya PAUL MAKONDA mpaka hufikia kuchoshwa na swala hili la nyeti.
Sasa nimewaza kwanini tusiache kwanza mambo ya vyeti tukajikita kwa maswala yale ya madawa maana naona kama mmemkatisha tamaa ya hatua nyingne ya kuwataja wale ambao alisema akimtaja mtu habahatishi.
Yawezekana waliyotajwa wanapiga madogo kwa kujihami??
ni wazo tu karibuni tujadili hili. Asanteni.
madawa at USA yanafatiliwa il ishu ya vyet alianzish mkuu wa kaya sa watoto tunaiendeleza coz ye c alisahau kupiga kipenga n rafu mwanzo mwisho ad turudishe magol ya ufiliiiPoleni na majukumu wana jf. Kila kukicha sikosi kuona uzi wa member kuzungumzia vyeti vya PAUL MAKONDA mpaka hufikia kuchoshwa na swala hili la nyeti.
Sasa nimewaza kwanini tusiache kwanza mambo ya vyeti tukajikita kwa maswala yale ya madawa maana naona kama mmemkatisha tamaa ya hatua nyingne ya kuwataja wale ambao alisema akimtaja mtu habahatishi.
Yawezekana waliyotajwa wanapiga madogo kwa kujihami??
ni wazo tu karibuni tujadili hili. Asanteni.
Mkuu ujue nmewaza baada ya kuona kama swala la madawa linapotea vile?