Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,608
- 4,265
Labda ni ushirikina tu huo.Mwenge ni kuwapumbaza watanzania tu, hakuna cha amani wala utulivu ukaletwa na mwenge
Kuamini kuwa moto wa mafuta unaweza kuleta amani ni sawa na kuabudu sanamu.
Labda ni ushirikina tu huo.Mwenge ni kuwapumbaza watanzania tu, hakuna cha amani wala utulivu ukaletwa na mwenge
Ukirudi salama ni haki kufanya ivyooThen wakirudi si mnawasema wanatumia vibaya hela au?
Acha porojo mwenge hauna faida yoyote.Mwenge nadhani ni dhana mficho ya Taifa.! "sisi tunataka kuwasha Mwenge na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro ili ulete tumaini........"..
Nukuzi kutoka katika Maneno ya Mwl Jk nyerere.
Natumai kila Taifa lina dhana yake mficho kwa ulinzi wa ama imani au Utaifa wao.! ukiaenda usie husika ukajaribu kufikiri waweza ona ni kama upuuzi tu.
mathalani kifimbo cha malkia kwenye olimpiki kina sabbu gani yakuzungushwa kwenye Nchi za madola?
au kile kinachoitwa mwenge wa olimpiki
ni dhana yake?
Ukienda China kuna jambo wanaliamini katika dragon toka kizazi kimoja kwenda kingine ukienda mgeni je dragon lao lina jambo lolote muhimu kwako?
Ukiangalia kwa mtazamo wa pesa utaona ni hasara lakini ukiangalia kwa Dhani ya Uhai wa Imani ya Kizalendo kwa Taifa ni kubwa sana.! Kwa kizazi kijacho labda tu ukiwa sio Mtanzania wa kweli jambo hilo linaweza kukusumbua.
Amani katika mataifa yenye machafuko. Huenda ni jambo la kisiasa zaidi ya kimani. Mathalani kulikuwa na haja gani ya Libya kuingia kwenye machafuko ?
Je UN hawakujua madhara ya Libya kwa siku za Mbele?
au Machafuko ya Syria UN hawajui sabbu za machafuko hayo?
the same DRC congo je UN hawajui..?
La hasha ni miradi yao wanayoitengeneza kwa manufaa yao wenyewe so sio uimara wa jeshi unaohitimisha migogoro katika Nchi zenye machafuko ila ni dhana. Iliyopandwa ndani ya fikra zao.!
ambayo yaweza kupandwa kwa kuaminishwa kuwa hawa wanapendelewa kuliko hawa na wale wananyanyaswa kuliko wale.
Wakishaanza kushambuliana walio wachonganisha wanapata wanachokitaka.!
Hivyo dhana ya Mwenge wa uhuru ni kuwakumbusha watanzania umoja wao na usawa wao ambao waweza kuondolewa na baadhi ya watu kwa kisingizio cha kisiasa.! Ambacho ukichunguza chanzo chake halisi sio ndani Ya Taifa letu..
"Kuwasha Mwenge na kuuweka Juu ya mlima kilimanjaro"
RIP.. Jk Nyerere..
RIP ... Nyirenda..
Kizazi kijacho kinachotafuta ukweli kitagundua siri hii.
Sio Kila jini ni la kukemewa.Ukemee utoweke bila hata kelele.
[emoji28]
unaijua historia yake?Hahahahaaaa! Mwenge ni noma!
Bujibuji unataka bifu na mimi et...kwanini hujanitaja na mimi au kwasababu sijafika chuo?Panapo tokea machafuko nchi mbalimbali Duniani, Tanzania imekuwa mstari wa mbele kupeleka wanajeshi wake wakalinde Na kuboresha amani.
Mazingira hayo Siyo rafiki. Ni nusu Vita kama sio Vita kamili.
Kwenye mission mbalimbali tumepoteza askari wetu ambao ni tegemeo kwa Taifa Na familia zao.
Tunao Mwenge wa Uhuru. Na Tunaambiwa amani Na utulivu vilivyopo nchini ni matokeo ya kuukimbiza mwenge nchi nzima.
Kwanini tusiukimbize mwenge kwenye nchi zenye machafuko kama Sudan Kusini, Congo etc ili wawe Na amani Na hivyo kuwaokoa askari wetu Na hata wenyeji wa hizo nchi?
Maoni Na majibu yenu ni muhimu.
swissme, BAK, mshana jr, Pascal Mayalla, Nyani Ngabu, Mzee Mwanakijiji, GuDume, CCM, CHADEMA
Mkuu Buji, umenikumbusha Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?.Panapo tokea machafuko nchi mbalimbali Duniani, Tanzania imekuwa mstari wa mbele kupeleka wanajeshi wake wakalinde Na kuboresha amani.
Mazingira hayo Siyo rafiki. Ni nusu Vita kama sio Vita kamili.
Kwenye mission mbalimbali tumepoteza askari wetu ambao ni tegemeo kwa Taifa Na familia zao.
Tunao Mwenge wa Uhuru. Na Tunaambiwa amani Na utulivu vilivyopo nchini ni matokeo ya kuukimbiza mwenge nchi nzima.
Kwanini tusiukimbize mwenge kwenye nchi zenye machafuko kama Sudan Kusini, Congo etc ili wawe Na amani Na hivyo kuwaokoa askari wetu Na hata wenyeji wa hizo nchi?
Maoni Na majibu yenu ni muhimu.
swissme, BAK, mshana jr, Pascal Mayalla, Nyani Ngabu, Mzee Mwanakijiji, GuDume, CCM, CHADEMA
Hao ni ndugu wa karibu, popote pakeshapo mwenge basi kondomu hutumika kwa wingi zaidi.!Hivi mwenge una uhusiano gani na kondomu??
Hayo mavumba Na mafusho hayana kinga? Je yana faida gani kwa ustawi wa Taifa lililo imara kiulinzi, kiusalama, kiuchumi Na kiutamduni?Mkuu Buji, umenikumbusha Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?.
Mambo ya uvumba na mavumba ni territorial na directional, yaani yana mipaka na kulengeshwa, walengwa huwa ni Watanzania walio ndani ya mipaka ya nchi yetu, ukiishatoka nje ya mipaka yetu, uvumba ule haufanyi tena kazi, ndio maana wengi wa Watanzania waliopo nje, wanajitambua, na ndia sababu tunaogopa kutoa uraia pacha kwa diaspora wetu!, mimi nilishauri tuwape tuu uraia pacha ila tuwakataze wasishiriki siasa!, kumbe haina haja kuogopa kutoa uraia pacha, tuwape uraia pacha na kuwaruhusu kushiriki siasa ili siku wakirudi Tanzania, lazima kwanza wafanyiwe initiations za kutakaswa na moshi wa Mwenge, hivyo wafanane na sisi tuliofukizwa tukafukazika na ndio maana tumetulia tuli.
P.
Hizo mnazoziokita ni chache tu, majority hawatumii kabisaHao ni ndugu wa karibu, popote pakeshapo mwenge basi kondomu hutumika kwa wingi zaidi.!
Hujafika hata chuo cha madrasa hapo msikiti wa jirani?Bujibuji unataka bifu na mimi et...kwanini hujanitaja na mimi au kwasababu sijafika chuo?
Muache mzee wa watu,usimsumbue.Forojo Ganze
Mchawi mwenzio.Muache mzee wa watu,usimsumbue.
Mambo ya ulinzi hayahojiwi.....hya wee shairi yako...anko....Panapo tokea machafuko nchi mbalimbali Duniani, Tanzania imekuwa mstari wa mbele kupeleka wanajeshi wake wakalinde Na kuboresha amani.
Mazingira hayo Siyo rafiki. Ni nusu Vita kama sio Vita kamili.
Kwenye mission mbalimbali tumepoteza askari wetu ambao ni tegemeo kwa Taifa Na familia zao.
Tunao Mwenge wa Uhuru. Na Tunaambiwa amani Na utulivu vilivyopo nchini ni matokeo ya kuukimbiza mwenge nchi nzima.
Kwanini tusiukimbize mwenge kwenye nchi zenye machafuko kama Sudan Kusini, Congo etc ili wawe Na amani Na hivyo kuwaokoa askari wetu Na hata wenyeji wa hizo nchi?
Maoni Na majibu yenu ni muhimu.
swissme, BAK, mshana jr, Pascal Mayalla, Nyani Ngabu, Mzee Mwanakijiji, GuDume, CCM, CHADEMA
Mwenge ni uchawi sio ulinzi Wala niniMambo ya ulinzi hayahojiwi.....hya wee shairi yako...anko....
Kama hujaoa au huna watoto wengi
Sema...upesi nikupe Dada zangu 3 uwajaze mimba upesi ...ili jin lako tubaki nalo
Usanii mtupuunaijua historia yake?