Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,156
- 166,098
- Thread starter
- #61
umeona ehh..... full mazingaombweUsanii mtupu
umeona ehh..... full mazingaombweUsanii mtupu
HAHA HAHAAAAAWaliulizwa wakasema mwenge upo kwenye ngao ya taifa. Sasa wameanza kukimbiza jembe na mashoka(silaha) kwa raia na wazalendo wa nchi.
ngachoka kabisaHAHA HAHAAAAA
Mkuu zile ni Ibada za watu acha kabisaaaa ...watu wanamuabudu shetani bila kujijua kwaajili ya manufaa ya wengine ...tuko brain washedSitaki kuamini kuwa Yale mabilioni tunayachoma bureee tu
vijana wa Lumumba wenzio wataku mind aiseee umetoa siri ya kambiKukimbiza Mwenge ni Mradi kama miradi mingine ya chama chetu kujipatia kipato.ile budget inaingia kwenye mfuko wetu huwezi kuona manufaa yake kama hauko nasi.
very sadMkuu zile ni Ibada za watu acha kabisaaaa ...watu wanamuabudu shetani bila kujijua kwaajili ya manufaa ya wengine ...tuko brain washed