Kwanini tunalinda makaburi ya viongozi?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Sina hakika na Lupaso Kwa Hayati Mkapa maana Mtwara sijafika tangu alipofariki Ila nina hakika na chato Kwa mwendazake, nina hakika na Kwa mwalimu maana niliwai fika.

Najiuliza Tunalinda marehemu kinacholindwa nini?

Nakumbuka miaka kadhaa niliwai udhuria msiba wa jamaa yangu kutoka Kagera Yule Bwana aliweka Ulinzi wa kulinda kabuli la Baba yake Kwa muda wa mwezi mmoja. Nilipomuuliza Kwa nn alifanya hivyo aliniambia alifanya hivyo ili kuepusha wachawi wasinyofoe mahiti ya Baba yake kabulini na kundi la wachawi.

Nilishanga sana lakini pamoja na ulinzi ule alio uweka, marehemu Baba yake hakumaliza hata wiki kabulini jamaa walimchomoa na kumla kama samaki hiyo ndo Kagera bhana.

Sasa najiuliza, kwanini Tunalinda Makabuli? Kwa nini Membe aliyekuwa Usalama kabuli lake halindwi? Je, membe angepenya na kuwa Rais tungemlinda? Maiti ya Membe Afisa na Membe Rais ingekuwa na tofauti gani?
 
Wanalinda tu kwa ajili ya usalama !! Maana watu kama mwendazake walivyochukiwa sana msipoweka walinzi , watu wanakunya juu ya kaburi wanapiga na picha kabisa !!!
 
Kwakweli kabuti la mkapa sio maarufu sana sijui kwanini
1690693238763.png
 
Sina hakika na Lupaso Kwa Hayati Mkapa maana Mtwara sijafika tangu alipofariki Ila Nina hakika na chato Kwa mwendazake, Nina hakika na Kwa mwalimu maana niliwai fika

Najiuliza Tunalinda marehemu kinacholindwa nini?

Nakumbuka miaka kadhaa niliwai udhuria msiba wa jamaa yangu kutoka Kagera Yule Bwana aliweka Ulinzi wa kulinda kabuli la Baba yake Kwa muda wa mwezi mmoja. Nilipomuuliza Kwa nn alifanya hivyo aliniambia alifanya hivyo ili kuepusha wachawi wasinyofoe mahiti ya Baba yake kabulini na kundi la wachawi.
Nilishangaaa Sana lakini pamoja na ulinzi ule alio uweka, marehemu Baba yake hakumaliza hata wiki kabulini jamaa walimchomoa na kumla kama samaki hiyo ndo Kagera bhana

Sasa najiuliza Kwa nni Tunalinda Makabuli?
Kwa nini Membe aliyekuwa Usalama kabuli lake halindwi?je membe angepenya na kuwa Rais tungemlinda?maiti ya Membe Afisa na Membe Rais ingekuwa na tofauti gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanalinda tu kwa ajili ya usalama !! Maana watu kama mwendazake walivyochukiwa sana msipoweka walinzi , watu wanakunya juu ya kaburi wanapiga na picha kabisa !!!
Alichukiwa na nani? Mafisadi ambao ni wachache ktk idadi ya watanzania ndo walimchukia
 
Ni aibu sana Kusikia Kaburi la Mkuu wa Nchi limefukuliwa na Wajinga, Mtu ambae amewahi kuhold nafasi ya Juu kabisa sioni shida kulinda kaburi lake, Utajisikiaje ukiambiwa kaburi la mtu kama magufuli limenyewe? Sema kwa sasa serikali ianzishe Libraries kwa hawa Viongozi wakuu wa Nchi wazikwe Collectively kwa Usalama Wa izo Kaburi zao
 
Back
Top Bottom