Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,621
- 3,514
- Thread starter
- #41
Minadhani ni bora kutake time ya kumstudy mtu. Wanasema waswahili uking'atwa na nyoka ata ukiona jani utashituka,sa km ushakaa na mtu hakubadilika unapoachana nae huyo mwingine msome tabia yake kwanza including company yake. By the way m sure mtu km anakupenda ukimwambia cpendi hiki ukifanyacho ataacha tu.
Nakubaliana na wewe Rogi, je,uafikiri hao wanaonyanyasa wapenzi wao hawawaambii kwamba wanachukizwa na kuumizwa na matendo yao?