Kwanini tunakuwa na mapenzi na watu wasiotupenda?

Michelle

Matatizo yote hayo ni sababu ya uwepo wa shetani.
Shetani ataendelea kumjaribu mwanadamu kila siku, peponi ndipo ambapo hakuna majaribu, tutaishi kwa raha na mustarehe, hakuna kufa wala kuzeeka. Twaingojea Paradiso

CPU

kwahiyo unafikiri tuvumilie tu,tukisubiri paradiso? wewe ukipata mwanamke anakupiga na kukuletea wanaume ndani,utakaa ukisema unasubiri paradiso,duniani shetani ataendelea kumjaribu mwanadamu tu???? kweli?
 
ni kweli ila kuna mwenye kasoro zinazovumilika (depending on individuals)
wengine ni mizigo kuwa nao.

Mfano kwangu mwanaume kuwa mkorofi kiasili si tatizo kiiivyoo ILA MVUTA SIGARA +LAGER siwezi kabisaaaaaaaaaa
Mimi mwanadada awe malaya chini kwa chini poa, NOMA akinionesha dharau siku hiyo kwao
 
It's a mirage to think you can change a grown azz man or woman.

I agree with you on this.....i still believe when he/she wants to change she/he can still do that....and God can change someone....do we have to live with these type of people who hurts us waiting for them to change or for God to change them or leave them?
 
Mimi mwanadada awe malaya chini kwa chini poa, NOMA akinionesha dharau siku hiyo kwao

Dharau ni nini? kama unastahili kudharauliwa je? Mfano, unarudi usiku unatukana na kupiga mke,watoto,unajikojolea.... unataka mtu akuchukulieje?

Ni dharau ya namna gani kubwa zaidi ya kukuacha wewe ambaye mna kiapo au commitment na kwenda kulala na wengine? unamaanisha kweli ?
 
Michelle,

unakumbuka ule wimbo unasema "I'll be there...he better be good to you.....cause if he doesn't....I will be there..."
 
binafsi mwanamke akinitenda tu huwa hata kama nitamsamehe lkn cmuweki tena ktk mawazo yangu na taratibu natafuta mwengine

kukutenda ndo kupi? lets say,kakasirika akakutukana.....utamsamehe na kutafuta mwingine?? :A S 13:
 
Marytina,hufikiri kuna vitu binadamu wote hawawezi vumilia bali wanaishi kwa kuumia wakiamini wapenzi wao watabadilika? mfano mwanaume anayekupiga au kukuletea mwanamke ndani zaidi ya mara kumi?
wakuniletea wanawake ndani simvumilii kabisa,bora wa kunipiga ingawa ntajaribu kukwepa kumkera kuepuka kipigo kwa namna yeyote.

Kuishi kwa kuumia: HAMNA NAMNA bcs kuishi bila yeye (patna) ni maumivi zaidi.
Hapa issue ni kusali Zimwi lako lisikule ukakwisha.
 
I agree with you on this.....i still believe when he/she wants to change she/he can still do that....and God can change someone....do we have to live with these type of people who hurts us waiting for them to change or for God to change them or leave them?

Yes, a person can only change him/herself though I believe there are some behaviors in people that are due to genetic dispositions. These genetically predisposed behaviors are hard to shake off because they are part of your DNA.

I'm not sure if god can so I'll leave that one as is!!

Now, do we have to tolerate abusive partners? My answer is no. But be mindful that we all have different tolerance levels. Some have zero tolerance whereas others can put up with unimaginable cruelty. At the end of the day it all boils down to the individual who is going through that experience.
 
wakuniletea wanawake ndani simvumilii kabisa,bora wa kunipiga ingawa ntajaribu kukwepa kumkera kuepuka kipigo kwa namna yeyote.

Kuishi kwa kuumia: HAMNA NAMNA bcs kuishi bila yeye (patna) ni maumivi zaidi.
Hapa issue ni kusali Zimwi lako lisikule ukakwisha.

hakuna namna? huyo anayekuletea wanawake ndani unapate namna ya kumuacha ushindwe muacha anayekupiga?
 
Mungu nisaidie Mke wangu asije akawa na fikra kama huyu Michelle. Maana kuna kila dalili kwamba hajaolewa au ameachika
 
Yes, a person can only change him/herself though I believe there are some behaviors in people that are due to genetic dispositions. These genetically predisposed behaviors are hard to shake off because they are part of your DNA.

I'm not sure if god can so I'll leave that one as is!!

Now, do we have to tolerate abusive partners? My answer is no. But be mindful that we all have different tolerance levels. Some have zero tolerance whereas others can put up with unimaginable cruelty. At the end of the day it all boils down to the individual who is going through that experience.

Excellent....i think might have something to do with tolerance levels....some of uf even a smell can lead to divorce.....l.o.l......am starting to understand why we cry for some people while they seem to be just fine with whatever their partners are doing....:wink2::decision:
 
Mungu nisaidie Mke wangu asije akawa na fikra kama huyu Michelle. Maana kuna kila dalili kwamba hajaolewa au ameachika

AMEN.....!!! Mungu akusaidie Ezan........l.o.l!!!
 
hakuna namna? huyo anayekuletea wanawake ndani unapate namna ya kumuacha ushindwe muacha anayekupiga?
hiyo ya wanawake wa nje inaweza ingiza ukimwi tukawaacha watoto yatima,pia ni dharau ya hali ya juu kabisa kwenye mahusiano haivumiliki
 
Excellent....i think might have something to do with tolerance levels....some of uf even a smell can lead to divorce.....l.o.l......am starting to understand why we cry for some people while they seem to be just fine with whatever their partners are doing....:wink2::decision:

You are so silly!!! But I agree with you...personal hygiene ranks very high on my list too.

Would you go out with someone who smells like a billy goat? Lol.....
 
Minadhani ni bora kutake time ya kumstudy mtu. Wanasema waswahili uking'atwa na nyoka ata ukiona jani utashituka,sa km ushakaa na mtu hakubadilika unapoachana nae huyo mwingine msome tabia yake kwanza including company yake. By the way m sure mtu km anakupenda ukimwambia cpendi hiki ukifanyacho ataacha tu.
 
Hua inatokana na uoga!!

Uoga wa kutopenda/pendwa tena!!Uoga wa kutaka kizuri alafu matokeo yake akose hata kibaya alichonacho sasa hivi!! Kuna watu wataongelea uvumilivu ila kuna hali ambazo hata hupaswi kumshauri mwanadamu mwenzako avumilie kwasababu hamna anaestahili kutendewa.

Ukichukulia mtu anaepigwa kila siku....mwenyewe atajidanganya labda hii ndo mara ya mwisho huku akijua fika hata juzi nilifikiria hivi hivi.Mtu anakua hajithamini. Haoni kama vile anastahili zaidi ya anachopata!

Hayo mawazo ya woga na kutokujithamini ni hatari sana maana siku ya siku utajikuta mpenzi mdanganyifu uliyemvumilia amekuletea magonjwa!!!Mkorofi nae kakufanya chongo au amekuua kabisa! Kwa watu wajifunze kua na kiasi...... fika mahali useme ENOUGH IS ENOUgh alafu nenda katafute furaha pengine!!!
 
hiyo ya wanawake wa nje inaweza ingiza ukimwi tukawaacha watoto yatima,pia ni dharau ya hali ya juu kabisa kwenye mahusiano haivumiliki

huyo wa kukupiga si anaweza kukuua siku moja my dear? i agree with you kuhusu hiyo ya kwenda nje haivumiliki....si tulishaambiwa tukubali tukatae hilo hatuwezi kulikwepa??? sasa itakuwaje?
 
You are so silly!!! But I agree with you...personal hygiene ranks very high on my list too.

Would you go out with someone who smells like a billy goat? Lol.....

You are silly as welll....mi will buy him a perfume to get rid of that smell....l.o.l:wink2:
 
Hua inatokana na uoga!!

Uoga wa kutopenda/pendwa tena!!Uoga wa kutaka kizuri alafu matokeo yake akose hata kibaya alichonacho sasa hivi! Kuna watu wataongelea uvumilivu ila kuna hali ambazo hata hupaswi kumshauri mwanadamu mwenzako avumilie kwasababu hamna anaestahili kutendewa.

Ukichukulia mtu anaepigwa kila siku.

Mwenyewe atajidanganya labda hii ndo mara ya mwisho huku akijua fika hata juzi nilifikiria hivi hivi.Mtu anakua hajithamini....haoni kama vile anastahili zaidi ya anachopata!!!

Hayo mawazo ya woga na kutokujithamini ni hatari sana maana siku ya siku utajikuta mpenzi mdanganyifu uliyemvumilia amekuletea magonjwa!!!Mkorofi nae kakufanya chongo au amekuua kabisa!!!Kwa watu wajifunze kua na kiasi......

fika mahali useme ENOUGH IS ENOUgh alafu nenda katafute furaha pengine!!!

When i say you are the best dearest....its because of this kind of arguments....kila jambo kwa kiasi...watu wanataka kuvumilia na kubeba dunia kifuani kwasababu ya uoga,

mwishoni tunapoteza zaidi na wakati mwingine hata uhai na ndoto zetu....tufike mahali tuseme enough is enough Lizzy na kutafuta furaha kwingine.....just Excellent!!!! nitakununulia lamborghini kwa harusi yako....naona signature yasema...Love is in the AYYYYEEEERR!!
 
Back
Top Bottom