Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Unaijua Bahima Empire wewe??? Watu wa izo sehemu wana movement ya siri ya kutawala nchi zote duniani kwa maslahi yao.Kumekuwa na tabia ya kuhoji uraia wa Watanzania wenye majina yanayofanana na ya nchi za Rwanda na Burundi, kwanini hatuhoji uraia wa watu wenye majina yanayofanana na Wajaluo wa Kenya au Wamakonde wa Msumbiji, au Wamalawi, Zambia au majina ya Kiarabu na Kizungu?..
Mtu anaitwa Masunga halafu mtusi sawa bwana mkubwaHao wana tabia za kibaguzi ukatili Ukabila ndio maana ipo sababu ya kuhoji
Mtu anaitwa Basunga halafu ni Mcongo sawa bwana mdogoMtu anaitwa Masunga halafu mtusi sawa bwana mkubwa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
AiseeKuna watu kama Dotto Mashaka Biteko, waziri wa madini na mbunge wa bukombe ni Mtusi 100%, wazazi wake wote Watusi (mwenyezi mungu awarehrmu) na kaoa familia ya Watusi...
Umeona eeNi wivu tu.
Ni mtazamo tuTatizo la watu wa hizo nchi wakiingia bongo hawapendi kujichanganya na wabongo na wanaoana wao kwa wao. wakenya, Wazambia na Wamalawi wakiingia Tz wanajichanganya na kuoana na Watz hivyo kuonekana ni wenzetu tu. Mmalawi aliyezamia Tz 2000 ni mwenzetu zaidi kuliko mnyarwanda aliyeingia 1980s
Si tuliambiwa ni mtoto wa Dada, Dada wa wapi huyoKuna watu kama Dotto Mashaka Biteko, waziri wa madini na mbunge wa bukombe ni Mtusi 100%, wazazi wake wote Watusi (mwenyezi mungu awarehrmu) na kaoa familia ya Watusi....
Teh teh kwamba Bahima Empire watatawala mpk Urusi,Israel,Korea kaskaziniUnaijua Bahima Empire wewe??? Watu wa izo sehemu wana movement ya siri ya kutawala nchi zote duniani kwa maslahi yao.
Ndo mana kiusalama ni jambo nyeti sana.
Point nzuri. Wamasai kwa mfano wenyewe wanaita eneo wanaloishi kuwa ni umasai na si Tanzania au Kenya maana hilo eneo ndipo lilipo. Na Wajaluo halikadhalikaKumekuwa na tabia ya kuhoji uraia wa Watanzania wenye majina yanayofanana na ya nchi za Rwanda na Burundi, kwanini hatuhoji uraia wa watu wenye majina yanayofanana na Wajaluo wa Kenya au Wamakonde wa Msumbiji, au Wamalawi, Zambia au majina ya Kiarabu na Kizungu?..
Mkuu peleka taarifa Uhamiaji ili wachunguze!Kuna watu kama Dotto Mashaka Biteko, waziri wa madini na mbunge wa bukombe ni Mtusi 100%, wazazi wake wote Watusi (mwenyezi mungu awarehrmu) na kaoa familia ya Watusi..
Ukiniambia pia kuwa ana asili ya Kigoma maeneo ya Bitale kule juu Mkongoro nitakuelewa unachotaka kutuambia.Kuna watu kama Dotto Mashaka Biteko, waziri wa madini na mbunge wa bukombe ni Mtusi 100%, wazazi wake wote Watusi (mwenyezi mungu awarehrmu) na kaoa familia ya Watusi.
Pacha wake Kulwa Masunga Biteko, ni afisa mwandamizi wa wizara ya mambo ya nje, kituo cha kazi ni ubarozi wa msumbiji. Huyu ni afisa usalama na ni mtusi.
Kwenye misiba ya wazazi wao yote nilihudhuria, kulikuwa na magari kibao yenye plate za Rwanda, na wanao ndugu kibao huko kwao.
Hawa ni wajumbe wa vikao nyeti nchini Tanzania.