Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,779
- 1,119
Misiba, ndoa, huwakutanisha watu wa mipaka na ndugu zao/walio baki upande meingine mipaka ya wakoloni ilipowekwa. Wajaluo, wakurya, wamasai, wanyambo/bakiga, waganda/wabumbiro, wamasai, wataita, wangoni, wayao, wamakonde, watutsi, wahutu, watwa, nk. Ni mwingiliano hai na bado mbichi! Mtashindwa kuudhibiti bila kuitwa wabaguzi.Kuna watu kama Dotto Mashaka Biteko, waziri wa madini na mbunge wa bukombe ni Mtusi 100%, wazazi wake wote Watusi (mwenyezi mungu awarehrmu) na kaoa familia ya Watusi.
Pacha wake Kulwa Masunga Biteko, ni afisa mwandamizi wa wizara ya mambo ya nje, kituo cha kazi ni ubarozi wa msumbiji. Huyu ni afisa usalama na ni mtusi.
Kwenye misiba ya wazazi wao yote nilihudhuria, kulikuwa na magari kibao yenye plate za Rwanda, na wanao ndugu kibao huko kwao.
Hawa ni wajumbe wa vikao nyeti nchini Tanzania.