Kwanini tunachambia mikono?

Kwanini tunachambia mikono?

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Habari zenu marafiki?

Nilikuwa najiuliza baada ya haja kubwa kwanini tunachambia mikono? kwa kuwa haja kubwa ni uchafu pamoja na kwamba tuna nawa mikono na sabuni lakini ule uchafu unaweza kubakia hata kwenye kucha kidogo halafu unaenda chakula? mmmh

Wengi wetu hatunawi na maji ya moto hivyo vidudu vinakuwa bado havijafa vinakuwa mkononi.

Ushauri wangu ni kwamba zitengenezwe gloves za kuchambia ambazo zitakuwa ni disposable gloves.

Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
 
..Maji yanakufanya utoke ukiwa msafi. Asilimia kubwa ya wanaotumia tissue pekee wanatembea na uchafu. Imagine mtu yuko hairy alafu anatumia tisuue tu, ni full kunuka barabarani.
 
Habari zenu marafiki?

Nilikuwa najiuliza baada ya haja kubwa kwanini tunachambia mikono? kwa kuwa haja kubwa ni uchafu pamoja na kwamba tuna nawa mikono na sabuni lakini ule uchafu unaweza kubakia hata kwenye kucha kidogo halafu unaenda chakula? mmmh

Wengi wetu hatunawi na maji ya moto hivyo vidudu vinakuwa bado havijafa vinakuwa mkononi.

Ushauri wangu ni kwamba zitengenezwe gloves za kuchambia ambazo zitakuwa ni disposable gloves.
Asanteni kwa kunisikiliza

hii mada yafaa kule cc huku naona kama si pahala pake
 
Habari zenu marafiki?

Nilikuwa najiuliza baada ya haja kubwa kwanini tunachambia mikono? kwa kuwa haja kubwa ni uchafu pamoja na kwamba tuna nawa mikono na sabuni lakini ule uchafu unaweza kubakia hata kwenye kucha kidogo halafu unaenda chakula? mmmh

Wengi wetu hatunawi na maji ya moto hivyo vidudu vinakuwa bado havijafa vinakuwa mkononi.

Ushauri wangu ni kwamba zitengenezwe gloves za kuchambia ambazo zitakuwa ni disposable gloves.
Asanteni kwa kunisikiliza

Nenda theatre ktk hospitali yoyote ukaone ma surgeon wanavyocheza na kinyesi,acha kukariri!wewe unajua kinyesi zaidi yao??
 
Habari zenu marafiki?

Nilikuwa najiuliza baada ya haja kubwa kwanini tunachambia mikono? kwa kuwa haja kubwa ni uchafu pamoja na kwamba tuna nawa mikono na sabuni lakini ule uchafu unaweza kubakia hata kwenye kucha kidogo halafu unaenda chakula? mmmh

Wengi wetu hatunawi na maji ya moto hivyo vidudu vinakuwa bado havijafa vinakuwa mkononi.

Ushauri wangu ni kwamba zitengenezwe gloves za kuchambia ambazo zitakuwa ni disposable gloves.
Asanteni kwa kunisikiliza

Ni kupenda kwako, waweza kuchambia miguu au ulimi kama umelelewa hivyo. Ati umepata division 5 mwaka huu au? Nenda QT watakufundisha staha ya kupresent mambo hata kama yanaudhi unaweza kuwasilisha kwa hekima kidogo
 
Habari zenu marafiki?

Nilikuwa najiuliza baada ya haja kubwa kwanini tunachambia mikono? kwa kuwa haja kubwa ni uchafu pamoja na kwamba tuna nawa mikono na sabuni lakini ule uchafu unaweza kubakia hata kwenye kucha kidogo halafu unaenda chakula? mmmh

Wengi wetu hatunawi na maji ya moto hivyo vidudu vinakuwa bado havijafa vinakuwa mkononi.

Ushauri wangu ni kwamba zitengenezwe gloves za kuchambia ambazo zitakuwa ni disposable gloves.
Asanteni kwa kunisikiliza

jf banah shida tupu.so ulitaka tuchambie ulimi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom