Mpekuzi17
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 445
- 396
H a ha haaaa, tatizo wasipotoa pesa hawapewi papuchi/mahusiano yanatoweka kama barufu.Hahaa. Kweli kabisa na naona imekuwa tabia endelevu kwa sababu wenye pochi zao wanatoa pesa pasi kulalamika na hata bila kuwa na sababu za msingi za pesa kutoka.
Then wadada siku hizi wana strategies nyingi za kuchukua pesa, so akiapply ya kwanza mpaka ya kumi lazima moja wapo itakupiga kikumbo na pesa itatoka tu.