Kwanini tulipe na utamu tunapata wote?

Kwanini tulipe na utamu tunapata wote?

eddy brown

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
414
Reaction score
314
Naomba niulize wana JF,

Hivi kwanini hawa dada zetu mnapokuwa na mahusuano pindi unapoomba uroda matarajio yake ni kupewa pesa wakati utamu na yeye anapata?

Kwanini uwe hivyo.
 
Kwa nini ulipe yan unashindwa kumtongoza ukawa unajipigia tu tena anaileta mwenyewe. Kaza vzuri mdomo unapotia mistari.
 
Gharama za kuihudumia papa.

1. Mnunulie mashine za kunyolea.

2. Mafuta ya kulainisha ngozi ya papa.

3. Manukato ya kufanya papa iwe na harufu nzuri.

4. mnunulie nguo safi na nzuri za ndani.

5. Mnunulie pedi.

6. Mnunulie suruali na sketi kufanya shepu yake iwe nzuri.

7. Mnunulie tishu safi ya kujifuta sehemu za papa pindi anapoenda kujisaidia haja ndogo au unapommwagia manii ndani ya papa.

Hizo ni gharama tosha ndiyo maana akikupa papa anaomba pesa yote hiyo ni kuihudumia papa yake hawezi kukutajia orodha hii anajua hutompa pesa.

Hapo umeelewa eddy...
[emoji14] [emoji4] [emoji119]
 
Mkuu iko hivyo tu, ata sisi babu zako tumekuta haya mambo
 
Umenena
 
Mmh. Inategemea bwana ikiwa mmeokotana juu juu lazima mlipane.

Pia niseme ulalamishi hausaidii. Ikiwa unacho kumpa japo nauli ya kurudia home sio mbaya hata kama yake anayo.
Mmmh kwanini nimpe nauli wakati tayari naona anayo nauli yake ya kumfikisha kwao! Kama mechi tumecheza wote na kufurahi wote.
 
Mmmh kwanini nimpe nauli wakati tayari naona anayo nauli yake ya kumfikisha kwao! Kama mechi tumecheza wote na kufurahi wote.
Hahahaaa. Hivyo weye hata hiyo nauli unaona sio sawa kuitowa? lol.

Ujue shida ni nini imeshazoeleka hivyo na ndio sababu imeshakuwa tabia yaani mdada bila kupewa pesa na mpenzi hayo hayajawa mahusiano bado. Yaani kwa baadhi ya wanawake pesa nacho ni kiunganishi.
 
They must be in a good shape to attract you, so the operational costs ain't low!

Wadada wanavaa mpaka mawigi ya million mbili ili wapendeze, alafu wakupe papa bure?

Come on man, gharamia!
 
Hahahaaa. Hivyo weye hata hiyo nauli unaona sio sawa kuitowa? lol.

Ujue shida ni nini imeshazoeleka hivyo na ndio sababu imeshakuwa tabia yaani mdada bila kupewa pesa na mpenzi hayo hayajawa mahusiano bado. Yaani kwa baadhi ya wanawake pesa nacho ni kiunganishi.
Ur right na ndo maana mahusiano mengi yanakufa kwa sababu wadada wengi macho yao yako juu kuangalia pochii kama limetuna. I hate this behaviour but sina cha kufanya tu🙂
 
Ur right na ndo maana mahusiano mengi yanakufa kwa sababu wadada wengi macho yao yako juu kuangalia pochii kama limetuna. I hate this behaviour but sina cha kufanya tu🙂
Hahaa. Kweli kabisa na naona imekuwa tabia endelevu kwa sababu wenye pochi zao wanatoa pesa pasi kulalamika na hata bila kuwa na sababu za msingi za pesa kutoka.
 
Hahaa. Kweli kabisa na naona imekuwa tabia endelevu kwa sababu wenye pochi zao wanatoa pesa pasi kulalamika na hata bila kuwa na sababu za msingi za pesa kutoka.[/QUOTE
ha ha ha haaaa, Tatizo wasipotoa hawapewi papuchi/mahusino yanatoweka kama barafu.
Kingine wadada siku hiz wana strategies nyingi za kuchukua pesa, so akiapply ya kwanza mpaka ya kumi lazima moja wapo itakupiga kikumbo.
 
Back
Top Bottom