PreGE2025 Kwanini tuandamane peke yetu? Hawa wawepo pia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hakuna vita bila kiongozi

Hata Mtume Muhammad kwenye vita vyote alivyowahi kushiriki alikuwa front kabisa sasa tunaomba hawa watu wanaotushawishi tuwe nao barabarani hiyo siku tena wawe mstari wa mbele kabisa

Hilda Newton
Twaha Mwaipaya
Sativa
Maria Sarungi
Mange Kimambi
Liberatus
Habil
Nuruvazi
Rachel Dangwa
Lukamba
Rose Ndauka
Muna Love

Na maparody yao yote na wale wanaowalipa na watafuta followers na likes bila kuwasahau Wakenya wazalendo ambao wamezoea Tear gas waje wakutane na moto huku

Nchi haikombolewi chumbani na vilaptop vyao waje road tuungane

Kama ilivyo azma yetu bila kuchoka

JF ndo nyumbani hakuna pa kukimbilia
Hata Nyerere hakuwa front, ila alikomboa Tanganyika
 
Kuwa masikini hainifanyi nikubaliane na kila ujinga mnaolisha watu humu

Yani niende na jiwe kupambana na mtu mwenye SMG seriously!!😅😅
Aliyekuambia wanaondanmana wanaenda kupambana ni nani?

Wapi waandamanaji walisema wanaenda kupambana Zaidi yenu nyie wakandamizaji wa haki,watekaji,wafiraji,wauaji na waminya uhuru wa kuongea/demokrasia kusema ole wenu muandamane tutawaua?

Dogo pambania kwanzakazi utoke hapo kwenu ili uione Dunia katika uhalisia wake.

You've gotten a blurry eyes,wipe it.
 
Hakuna vita bila kiongozi

Hata Mtume Muhammad kwenye vita vyote alivyowahi kushiriki alikuwa front kabisa sasa tunaomba hawa watu wanaotushawishi tuwe nao barabarani hiyo siku tena wawe mstari wa mbele kabisa

Hilda Newton
Twaha Mwaipaya
Sativa
Maria Sarungi
Mange Kimambi
Liberatus
Habil
Nuruvazi
Rachel Dangwa
Lukamba
Rose Ndauka
Muna Love

Na maparody yao yote na wale wanaowalipa na watafuta followers na likes bila kuwasahau Wakenya wazalendo ambao wamezoea Tear gas waje wakutane na moto huku

Nchi haikombolewi chumbani na vilaptop vyao waje road tuungane

Kama ilivyo azma yetu bila kuchoka

JF ndo nyumbani hakuna pa kukimbilia
Samia, Wanu na Abdul nao wakae mbele kukabiliana na waandamanaji.
 
Hakuna vita bila kiongozi

Hata Mtume Muhammad kwenye vita vyote alivyowahi kushiriki alikuwa front kabisa sasa tunaomba hawa watu wanaotushawishi tuwe nao barabarani hiyo siku tena wawe mstari wa mbele kabisa

Hilda Newton
Twaha Mwaipaya
Sativa
Maria Sarungi
Mange Kimambi
Liberatus
Habil
Nuruvazi
Rachel Dangwa
Lukamba
Rose Ndauka
Muna Love

Na maparody yao yote na wale wanaowalipa na watafuta followers na likes bila kuwasahau Wakenya wazalendo ambao wamezoea Tear gas waje wakutane na moto huku

Nchi haikombolewi chumbani na vilaptop vyao waje road tuungane

Kama ilivyo azma yetu bila kuchoka

JF ndo nyumbani hakuna pa kukimbilia
Kwani ukitutolea upumbavu wako utapungukiwa nini?
 
Foffana ushapata mchongo?
Kumbe kijana mwenyewe Foffana hana elimu. Dah! Ndio maana tunahangaika na mburula kumbe. From now namuweka kwenye dustbin
 
Hakuna vita bila kiongozi

Hata Mtume Muhammad kwenye vita vyote alivyowahi kushiriki alikuwa front kabisa sasa tunaomba hawa watu wanaotushawishi tuwe nao barabarani hiyo siku tena wawe mstari wa mbele kabisa

Hilda Newton
Twaha Mwaipaya
Sativa
Maria Sarungi
Mange Kimambi
Liberatus
Habil
Nuruvazi
Rachel Dangwa
Lukamba
Rose Ndauka
Muna Love

Na maparody yao yote na wale wanaowalipa na watafuta followers na likes bila kuwasahau Wakenya wazalendo ambao wamezoea Tear gas waje wakutane na moto huku

Nchi haikombolewi chumbani na vilaptop vyao waje road tuungane

Kama ilivyo azma yetu bila kuchoka

JF ndo nyumbani hakuna pa kukimbilia
Hata wakati wa kupigania Uhuru wa Mozambique, Angola, Zimbabwe Namibia na Africa ya Kusini kulikuwa na Viongozi ambao waliongoza mapambano wakiwa Nje ya nchi zao na kukawa na wale waliokuwa on the ground. Polepole akaamua aje nyumbani na bado mkambeza kuwa alikuwa mpumbavu kufanyia harakati zake ndani ya Tanzania acha yamkute yaliyomkuta 🤫
 
Hakuna vita bila kiongozi

Hata Mtume Muhammad kwenye vita vyote alivyowahi kushiriki alikuwa front kabisa sasa tunaomba hawa watu wanaotushawishi tuwe nao barabarani hiyo siku tena wawe mstari wa mbele kabisa

Hilda Newton
Twaha Mwaipaya
Sativa
Maria Sarungi
Mange Kimambi
Liberatus
Habil
Nuruvazi
Rachel Dangwa
Lukamba
Rose Ndauka
Muna Love

Na maparody yao yote na wale wanaowalipa na watafuta followers na likes bila kuwasahau Wakenya wazalendo ambao wamezoea Tear gas waje wakutane na moto huku

Nchi haikombolewi chumbani na vilaptop vyao waje road tuungane

Kama ilivyo azma yetu bila kuchoka

JF ndo nyumbani hakuna pa kukimbilia
Tunamtaka na Mbowe aliyekuwa akihamasisha maandamano kipindi cha uongozi wake naye ajitokeze kwenye maandamano. Otherwise ilikuwa unafiki!
 
Hawawezi kuwepo,wakati hao wana hamasishaa maandamano kina Mange kimavi wapo na mabwana zao huko ,sisi ndo tunaoteseka!!
 
Hata wakija hao unaowataka
wewe huna jeuri ya kuandamana sababu ni muoga sana

9dec jifiche uvunguni ule shaba ya tak
 
Aliyekuambia wanaondanmana wanaenda kupambana ni nani?

Wapi waandamanaji walisema wanaenda kupambana Zaidi yenu nyie wakandamizaji wa haki,watekaji,wafiraji,wauaji na waminya uhuru wa kuongea/demokrasia kusema ole wenu muandamane tutawaua?

Dogo pambania kwanzakazi utoke hapo kwenu ili uione Dunia katika uhalisia wake.

You've gotten a blurry eyes,wipe it.
Hilo sio mpaka lisemwe Bro tuliokuwa Kwa Ground tuliexperience vizuri

Sio kinyonge kule
 
Back
Top Bottom