Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
😆😆 uliniona?Ulipiga watu risasi wewe.
😆😆 uliniona?Ulipiga watu risasi wewe.
Kumbe wewe ni Joined 2025Foffana ushapata mchongo?
Habari za jioni wakuu
Kijana mtiifu,mchapakazi na mwenye akili timamu.Nipo mbele yenu kuomba kazi yoyote halali ili niweze kupata pesa ya kuendesha maisha yangu
Elimu yangu ni kidato cha 6 napatikana Goba Dar es salaam.Kazi ninayofanya kwa sasa ni kiwandani
Mwenye mchongo wowote tushtuane wakuu tusikunjiane
Lamomy
Mjusi Sharobalo
- Foffana
- kazi naomba naomba kazi
- Replies: 97
- Forum: Jukwaa la Ajira na Tenda
Wewe chawa endelea na uchawa wako, kila mtu anatoka kwa sababu ya kero anazotaka zitokomezwe, you dance according to how you’re feeling the beats. Hakuna anayeandamana kwa kushawishiwa na yeyote, kama unategemea kuingia barabarani kwa influence ya whistleblowers ni bora ukakaa tu nyumbani.Hakuna vita bila kiongozi
Hata Mtume Muhammad kwenye vita vyote alivyowahi kushiriki alikuwa front kabisa sasa tunaomba hawa watu wanaotushawishi tuwe nao barabarani hiyo siku tena wawe mstari wa mbele kabisa
Hilda Newton
Twaha Mwaipaya
Sativa
Maria Sarungi
Mange Kimambi
Liberatus
Habil
Nuruvazi
Rachel Dangwa
Lukamba
Rose Ndauka
Muna Love
Na maparody yao yote na wale wanaowalipa na watafuta followers na likes bila kuwasahau Wakenya wazalendo ambao wamezoea Tear gas waje wakutane na moto huku
Nchi haikombolewi chumbani na vilaptop vyao waje road tuungane
Kama ilivyo azma yetu bila kuchoka
JF ndo nyumbani hakuna pa kukimbilia
Kila la heri 🙏Wewe chawa endelea na uchawa wako, kila mtu anatoka kwa sababu ya kero anazotaka zitokomezwe, you dance according to how you’re feeling the beats. Hakuna anayeandamana kwa kushawishiwa na yeyote, kama unategemea kuingia barabarani kwa influence ya whistleblowers ni bora ukakaa tu nyumbani.
Jeshini(vitani) kama ilivyo kwenye struggles zozote majukumu hutofautiana, si wanajeshi wote huwa front bali wengine huwa ni wa kupanga mikakati(strategists) na kuna motivators(wahamasishaji) the kuna akina sisi infantry division.
Mkuu kama umeona yaliyofanyika kuanzia oktoba 29 haina haja ya ubishinani kakwambia kuwa wapo vitani au wanahamasisha vita? Mimi sifungamani na chama chochote cha kisiasa ila kwenye hili sijawahi kuwasikia wakidai kuwa walo vitani
Huyu mbona kama Maria Sarungi 😅😅Na wewe uwepo pia View attachment 3512170
We chawa wa watekaji na wauaji tulia.Hakuna vita bila kiongozi
Hata Mtume Muhammad kwenye vita vyote alivyowahi kushiriki alikuwa front kabisa sasa tunaomba hawa watu wanaotushawishi tuwe nao barabarani hiyo siku tena wawe mstari wa mbele kabisa
Hilda Newton
Twaha Mwaipaya
Sativa
Maria Sarungi
Mange Kimambi
Liberatus
Habil
Nuruvazi
Rachel Dangwa
Lukamba
Rose Ndauka
Muna Love
Na maparody yao yote na wale wanaowalipa na watafuta followers na likes bila kuwasahau Wakenya wazalendo ambao wamezoea Tear gas waje wakutane na moto huku
Nchi haikombolewi chumbani na vilaptop vyao waje road tuungane
Kama ilivyo azma yetu bila kuchoka
JF ndo nyumbani hakuna pa kukimbilia
Angalau sasa karibu wote tunaongea lugha moja ya maandamano, Imebaki tofauti ya nitoke vipi na nani.Hakuna vita bila kiongozi
Hata Mtume Muhammad kwenye vita vyote alivyowahi kushiriki alikuwa front kabisa sasa tunaomba hawa watu wanaotushawishi tuwe nao barabarani hiyo siku tena wawe mstari wa mbele kabisa
Hilda Newton
Twaha Mwaipaya
Sativa
Maria Sarungi
Mange Kimambi
Liberatus
Habil
Nuruvazi
Rachel Dangwa
Lukamba
Rose Ndauka
Muna Love
Na maparody yao yote na wale wanaowalipa na watafuta followers na likes bila kuwasahau Wakenya wazalendo ambao wamezoea Tear gas waje wakutane na moto huku
Nchi haikombolewi chumbani na vilaptop vyao waje road tuungane
Kama ilivyo azma yetu bila kuchoka
JF ndo nyumbani hakuna pa kukimbilia
Wenye majukumu yao wanajulikanaNa wanaozuia kuandamana tuwaone wao siku hiyo wakiwa na bunduki na fimbo, sio kutuma watoto wa maskini kama wewe na vidampa wengine maaskari maskini
Wanamtafuta? So wakimpata watamfanya nini?Tatizo la machawa wengi ni kuwa hamna uwezo wa kutetea mnachodhani mnatetea. Watu kama Maria, Mange etc ni watu wanaoishi kwenye hatari mara mia kuliko kuandamana. Mange genge la CCM inamtafuta kwa gharama yoyote. Sisi waandamanaji tumewapa ruhusu waongoze mapigano wakiwa huko waliko na sisi tutafanya kazi ya kumfurumusha huyu muuaji. BTW tunaandamana kwa faida yetu na siyo ya mtu mwingine.
Kuwa masikini hainifanyi nikubaliane na kila ujinga mnaolisha watu humuHawa watu ukiwaangalia unagundua ni masikini kuliko hata sisi tunaotetea Tanzania iliyo ya haki na ustawi.
Na hapo unaweza Kuta anauza alkasusu. Hapo akikaa chini ameweka birika lake ndiyo anaandika haya mashudu jf
Wewe chawa wa uvccm hujui mfumo wa dunia ulivyo na unavyokwenda!Hakuna vita bila kiongozi
Hata Mtume Muhammad kwenye vita vyote alivyowahi kushiriki alikuwa front kabisa sasa tunaomba hawa watu wanaotushawishi tuwe nao barabarani hiyo siku tena wawe mstari wa mbele kabisa
Hilda Newton
Twaha Mwaipaya
Sativa
Maria Sarungi
Mange Kimambi
Liberatus
Habil
Nuruvazi
Rachel Dangwa
Lukamba
Rose Ndauka
Muna Love
Na maparody yao yote na wale wanaowalipa na watafuta followers na likes bila kuwasahau Wakenya wazalendo ambao wamezoea Tear gas waje wakutane na moto huku
Nchi haikombolewi chumbani na vilaptop vyao waje road tuungane
Kama ilivyo azma yetu bila kuchoka
JF ndo nyumbani hakuna pa kukimbilia
Sasa hao nilowataja ni platoon nzima aisee sio jemedari mmoja😅😅We chawa wa watekaji na wauaji tulia.
Tulipopigana vita ya Uganda kwani Nyerere alienda front?
Majuzi wakati JW walipoenda kukabiliana na M23 hivi Chura aka #Who-r-u? alikuwepo front?
Jemadari huwa haendi front, zingatia
Kama mnalitambua hili haya kila la heri 🙏Wewe chawa wa uvccm hujui mfumo wa dunia ulivyo na unavyokwenda!
Kiongozi hapelekwagi front.
Kupigana vita si lazima kila mtu asongeshwe front.
Kuna B Echelons za kiutawala ambako huandaliwa huduma za wapiganaji walioko mbele lazima ziwepo.
Kuna wafadhili na wahamasishaji nao huhesabika kupigana vita hiyo hiyo, lazima pawepo na mnyororo katika kufanikisha jambo.
Hao kina Dangwa ni wahamadishaji, ndiyo ushiriki wao huo wanaofanya.