PreGE2025 Kwanini tuandamane peke yetu? Hawa wawepo pia

PreGE2025 Kwanini tuandamane peke yetu? Hawa wawepo pia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kama huandamani tulia nyumbani kwako, kwani hakuna aliyekufata wala kukulazimisha
Heshimu na maamzi ya watakao andamana
Kila mtu atumie haki yake kikatiba na heshimu haki na uhuru wa mwenzako
 
Wewe ndiyo unatumia akili?

Kwa hiyo hapa kuandika huu uzi ndiyo umeshatumia akili?

Hakika kama sisiem wanaoingoza nchi ndiyo sampuli hii basi hatutarudi katika hali ya kawaida Tena.

Nchi imeshalaaniwa hii kupitia Hawa watu.
Yeap akili imecharge haswa

Yani wewe unajitambua halafu unashawishiwa na mtu aliyekuwepo Ulaya huko eti nenda barabarani na jiwe ukapambane na Mtu mwenye SMG na wewe kama ng'ombe unakubali aisee 😅😅😅

Jamaa akili umeziweka wapi? Mbona hata mtoto mdogo hawezi kukubali hili
 
Maji yanatoka mkuu?
Una risiti za kutosha
 
Hao niliowataja kila siku wanapost zaidi ya 50 kuhamasisha tu 😅😅

Shtuka mkuu ukiona unaitwa kwenye fursa ujue wewe ndiyo fursa
Tatizo la machawa wengi ni kuwa hamna uwezo wa kutetea mnachodhani mnatetea. Watu kama Maria, Mange etc ni watu wanaoishi kwenye hatari mara mia kuliko kuandamana. Mange genge la CCM inamtafuta kwa gharama yoyote. Sisi waandamanaji tumewapa ruhusu waongoze mapigano wakiwa huko waliko na sisi tutafanya kazi ya kumfurumusha huyu muuaji. BTW tunaandamana kwa faida yetu na siyo ya mtu mwingine.
 
Kama huandamani tulia nyumbani kwako, kwani hakuna aliyekufata wala kukulazimisha
Heshimu na maamzi ya watakao andamana
Kila mtu atumie haki yake kikatiba na heshimu haki na uhuru wa mwenzako
Mbona mlikuwa mnakata watu vidole
Mlifanya fujo ktk vituo vya kupigia kura

Hamuoni kama mlikuwa mnazuia haki ya wenzenu ya kikatiba?
 
Jamaa yangu chora bango lako pita kituo cha polisi kilicho karibu waeleze mipango yako(usisahau pia kudownload taarifa kutoka UN)

Ukisubiri motisha ya watu kazi hamna tena au ukishindwa lala tu siku nzima hakuna swali
 
Mbona mlikuwa mnakata watu vidole
Mlifanya fujo ktk vituo vya kupigia kura

Hamuoni kama mlikuwa mnazuia haki ya wenzenu ya kikatiba?
Wewe Kwa akili yako unaamini Samia alipata kura milion 31
Na watu waliopiga kura walifika milion 32+
 
Hawa watu ukiwaangalia unagundua ni masikini kuliko hata sisi tunaotetea Tanzania iliyo ya haki na ustawi.

Na hapo unaweza Kuta anauza alkasusu. Hapo akikaa chini ameweka birika lake ndiyo anaandika haya mashudu jf
Madogo njaa Kali
Unaona kijana anafikiria sawa na wazee wa BAKWATA
Yani eti anaamini Watanzania milion 32 walijitokeza kupiga kura
 
THIBITISHA KAMA WAMESHAWISHIWA?
1765024144042.jpg

Na wewe unaamini hili? 😅😅
 
Back
Top Bottom