Nikiona mtu anazizingatia ndipo ninapo toa povu haswa....kwa sababu ni rankings za upuuzi.Typical Utopolo. Hizo rankings kama hazina maana mbona povu linakutoka sasa.Unadhani Simba kuanzia round ya pili sawa na Al ahly na kina Mamelod,Mazembe,Wydad na Wababe wengie wa Afrika imekuja bure bure tu.
Pambana kwanza Jumapili,maana mpaka tukutane tar 25 utakuwa tayari Out CL
Code za mbingaHiyo ni code! Wachache sana hasa wanamichezo ndio walio elewa.
Nikiona mtu anazizingatia ndipo ninapo toa povu haswa....kwa sababu ni rankings za upuuzi.
Makorokoro fc watarudi kucheza na timu Afrika Mashariki tuNasikia wametoa ratiba ya ligi kuu Congo, ETi tarehe 19 tp mazembe wako na mechi ya ligi. sasa sijui watajigawa vipi?
Tuna anza kesho hayo maandalizi mtani//
Haji Manara atazungumza na Tanzania .
Kaa karibu na redio yako.