demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,250
- 15,116
- Thread starter
- #61
Manara tena. Sasa hapa Manara ameingiaje?Simba hatuna watu bitter na negative ka wewe team manara with too much negativity and depression mwaka huu mlambe ndimu za kutosha
Mbona wakati wote anaishi pasi na kulipia kodi kwenye vichwa vyenu?