Kwanini TEC wamejitokeza awamu ya sita?

Kwanini TEC wamejitokeza awamu ya sita?

Huwapendi Waarabu
Hilo halina ubishi lakini kitendo cha Tec ku come out kisa bandari anataka kupewa mwarabu basi hio tayari ni udini Mkubwa sana ambao hauna maana Nimeona kwenye waraka wao pia wameweka inshu za Loliondo ambako nako wamepewa waarabu, Mimi Binafsi siwapendi waarabau kwasababu nafahamu fika sio civilized na wana ubaguzi sana ila ili la TEC kuraise alarm ni limejaa Misingi y kibaguzi na kutaka kugawa taifa
,TEC wanata kugawa Taifa?! Umesoma na kuelewa ule Waraka?!
 
Wakuu salama?

Aisee mimi sikubaliani na baadhi ya Vifungu vya mkataba wa DP world lakini nawaza sana Kwanini leo ajitokeze leo?

Hakuona uchafu mkubwa awamu iliyopita au kwa Vile Namba moja alikuwa upande wao?

Hili baraza binafsi nimeona lipo kwa ajili ya kusave interest zao Binafsi tu!

Therefore Tunaimani kubwa sana Na Mkuu wa Nchi wa sasa, Tanzania is a secular state, Hatukubali kugawana kwa misingi yoyote ya Kidini
Utakuwa una miaka 2 yakuzaliwa kama ukuona walaka kwa awamu ya tano
 
Haya ni mawazo mgando
Sio mawazo mgando hata kama mimi ni mkatoliki ila ukweli ni kwamba TEC ni wadini mno mbona wakati wa utawala wa mkristo mwenzetu alieunajisi uchaguzi,aliekitishia maisha ya watu na mpaka kuua watu hawakutoa tamko lolote? Tutende haki ubaguzi sio kitu kizuri
 
Wakuu salama?

Aisee mimi sikubaliani na baadhi ya Vifungu vya mkataba wa DP world lakini nawaza sana Kwanini leo ajitokeze leo?

Hakuona uchafu mkubwa awamu iliyopita au kwa Vile Namba moja alikuwa upande wao?

Hili baraza binafsi nimeona lipo kwa ajili ya kusave interest zao Binafsi tu!

Therefore Tunaimani kubwa sana Na Mkuu wa Nchi wa sasa, Tanzania is a secular state, Hatukubali kugawana kwa misingi yoyote ya Kidini
Swali lako umejiuliza ukiwa na njaa.Unakumbuka mapadre walifanyiwa harassments hadi kuulizwa uraia?
 
Eti mnyaturu wa singida anadai muarabu wa Qatar au Dubai ambayo ni kitovu cha mapumziko, utalii na biashara kwa ukanda ule na duniani kuwa hawapo civilized, tutaskia mengi kweli.....

Hapo ni udini the rest ni blah blah

Mkataba sawa urekebishwe, lakini hata urekebishwe vipi maadam ni waarabu waislam wa swala 5 basi mioyoni mwao still hawatakuwa radhi, hata kama tutaambiwa tupewe faida 85%

Source: believe me!
Umesoma tamko la SHURA YA MAIMAMU ?
Kama umesoma wamesemaje juu ya Mkataba wa DPW ?

Kama hujasoma basi shida ipo kwako.
 
Wakuu salama?

Aisee mimi sikubaliani na baadhi ya Vifungu vya mkataba wa DP world lakini nawaza sana Kwanini leo ajitokeze leo?

Hakuona uchafu mkubwa awamu iliyopita au kwa Vile Namba moja alikuwa upande wao?

Hili baraza binafsi nimeona lipo kwa ajili ya kusave interest zao Binafsi tu!

Therefore Tunaimani kubwa sana Na Mkuu wa Nchi wa sasa, Tanzania is a secular state, Hatukubali kugawana kwa misingi yoyote ya Kidini
Waraka wa kraresma ulitotewa kipindi gani na inasemekana ndo ulisababisha misukosuko na hatimae kifo cha padre Raymond Sabba aliekua katibu wa TEC wakati huo.
 
Hakuna ubaya wakipigania maslahi ya taifa lao. Kuwa viongozi wa dini hakuwanyang'anyi haki ya kutoa maoni.
Hakuna maslahi ya taifa.
mambo mangapi yanayohusu taifa walikaa kimya.?
Hao wapo kwa maslahi ya ukatoliki tu.
Hofu yao kubwa ni waislam(islamophobia)
 
Wamemtuma Dr Slaa...wakaona kakamatwa wamejitokeza wenyewe live.

Na wala hawataki kurekebisha vipengele...wako very clear hawataki waarabu waislam.

Hata akija mwekezaji Mzungu vipengele hivyo hivyo hutasikia wakisema chochote.

Si alikuwepo Ticts na Hong Kong miaka 22.

walisema chochote?
Miaka ya nyuma Jamii Forum ulikuwa unaonekana ni mtu mwenye busara kidogo

Ila miaka hii nimegundua kama una shida
 
Wakuu salama?

Aisee mimi sikubaliani na baadhi ya Vifungu vya mkataba wa DP world lakini nawaza sana Kwanini leo ajitokeze leo?

Hakuona uchafu mkubwa awamu iliyopita au kwa Vile Namba moja alikuwa upande wao?

Hili baraza binafsi nimeona lipo kwa ajili ya kusave interest zao Binafsi tu!

Therefore Tunaimani kubwa sana Na Mkuu wa Nchi wa sasa, Tanzania is a secular state, Hatukubali kugawana kwa misingi yoyote ya Kidini
Swali la kijinga kabisa,kwani ktk awamu zote ni awamu ipi imepitisha mkataba wa kijinga na WA kubagua znz na bara km huu
 
Back
Top Bottom