MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,656
- 22,443
Walikuwepo mkuu, sema kwa bahati mbaya inawezekana ulikua hujazaliwa bado Nyaraka KKKT, TEC zilivyoibua mijadala
Eti mnyaturu wa singida anadai muarabu wa Qatar au Dubai ambayo ni kitovu cha mapumziko, utalii na biashara kwa ukanda ule na duniani kuwa hawapo civilized, tutaskia mengi kweli.....Hilo halina ubishi lakini kitendo cha Tec ku come out kisa bandari anataka kupewa mwarabu basi hio tayari ni udini Mkubwa sana ambao hauna maana Nimeona kwenye waraka wao pia wameweka inshu za Loliondo ambako nako wamepewa waarabu, Mimi Binafsi siwapendi waarabau kwasababu nafahamu fika sio civilized na wana ubaguzi sana ila ili la TEC kuraise alarm ni limejaa Misingi y kibaguzi na kutaka kugawa taifa
Tatizo la kutofuatilia mambo.... tec waliishambulia serikali ya magufuli kwa ukiukaji wa haki za binadamu... Hawajui kukaa kimya linapotokea jambo la kuumiza wananchi !Wakuu salama?
Aisee mimi sikubaliani na baadhi ya Vifungu vya mkataba wa DP world lakini nawaza sana Kwanini leo ajitokeze leo?
Hakuona uchafu mkubwa awamu iliyopita au kwa Vile Namba moja alikuwa upande wao?
Hili baraza binafsi nimeona lipo kwa ajili ya kusave interest zao Binafsi tu!
Therefore Tunaimani kubwa sana Na Mkuu wa Nchi wa sasa, Tanzania is a secular state, Hatukubali kugawana kwa misingi yoyote ya Kidini
Tambua masilahi ya mwananchi ni masilahi ya wanasiasa na hata viongozi wa dini... Unafikiri wanapigania ng'ombe? Masilahi Yao ni mwananchi !!TEC wapo kwenye kivuli cha sauti ya wananchi lakini kiuhalisia wapo kwa maslahi yao.
Ufinyu wa akili ndio hupelekea watu kuishi kishirikina !!Wamemtuma Dr Slaa...wakaona kakamatwa wamejitokeza wenyewe live.
Na wala hawataki kurekebisha vipengele...wako very clear hawataki waarabu waislam.
Hata akija mwekezaji Mzungu vipengele hivyo hivyo hutasikia wakisema chochote.
Si alikuwepo Ticts na Hong Kong miaka 22.
walisema chochote?
Wakuu salama?
Aisee mimi sikubaliani na baadhi ya Vifungu vya mkataba wa DP world lakini nawaza sana Kwanini leo ajitokeze leo?
Hakuona uchafu mkubwa awamu iliyopita au kwa Vile Namba moja alikuwa upande wao?
Hili baraza binafsi nimeona lipo kwa ajili ya kusave interest zao Binafsi tu!
Therefore Tunaimani kubwa sana Na Mkuu wa Nchi wa sasa, Tanzania is a secular state, Hatukubali kugawana kwa misingi yoyote ya Kidini
Kwani misukule hutafakari au hukurupuka ?? Ni shida !!!Umeusoma waraka lakini au umeamua kuandika tu!
Kadanganye alaekula dyudyu ya mazaako TEC wamekuwa wakitoa matamko mbali mbalimbali ujinga umbwa nyie 2018 wakoa makemeo ya mauaji na utekajiWamejawa na udini hao watu, Hawataki uwezekaji kwa sababu ni Mwarabu tu
[emoji3][emoji3]TICTS na Hong Kong umeandika mwenyewe ni miaka 22.
Hao "miungu" yenu mbona haionekani popote muda wao wa kuiendesha bandari!!??
Mnyoge gani labda ?Acha udini ngeke wewe. Awamu ya tano iliuza shirika gani la umma? Awamu ya 5 tulishudia mnyonge akithaminiwa na kuwa na sauti.
NIKO PAMOJA NA SERIKALINiko pamoja na TEC
Zanzibar hakuna Bandari?Hilo halina ubishi lakini kitendo cha Tec ku come out kisa bandari anataka kupewa mwarabu basi hio tayari ni udini Mkubwa sana ambao hauna maana Nimeona kwenye waraka wao pia wameweka inshu za Loliondo ambako nako wamepewa waarabu, Mimi Binafsi siwapendi waarabau kwasababu nafahamu fika sio civilized na wana ubaguzi sana ila ili la TEC kuraise alarm ni limejaa Misingi y kibaguzi na kutaka kugawa taifa
Kwa hiyo unataka TEC waangalie tu wakati nyie mkiuza nchi yetu?Wakuu salama?
Aisee mimi sikubaliani na baadhi ya Vifungu vya mkataba wa DP world lakini nawaza sana Kwanini leo ajitokeze leo?
Hakuona uchafu mkubwa awamu iliyopita au kwa Vile Namba moja alikuwa upande wao?
Hili baraza binafsi nimeona lipo kwa ajili ya kusave interest zao Binafsi tu!
Therefore Tunaimani kubwa sana Na Mkuu wa Nchi wa sasa, Tanzania is a secular state, Hatukubali kugawana kwa misingi yoyote ya Kidini
Hao wa miaka 22 wengi walijua na walipiga kelele pia naona kama unapotosha jamii hawa Wakatoliki wapo sawa sana kuliko wale ndugu zangu masheihk ubwabwa...hapa ni hoja mambo ya dini peleni mnakoabudu..Wamemtuma Dr Slaa...wakaona kakamatwa wamejitokeza wenyewe live.
Na wala hawataki kurekebisha vipengele...wako very clear hawataki waarabu waislam.
Hata akija mwekezaji Mzungu vipengele hivyo hivyo hutasikia wakisema chochote.
Si alikuwepo Ticts na Hong Kong miaka 22.
walisema chochote?
Ukikemea wewe inatosha. Si lazima wafanye unachowaza wewe.Hivi hizi nguvu wanazotumia TEC wangetumia kukemea ushoga ingewaona wa maana sana.