New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,310
- 2,425
wadau naomben wenye kufaam...vigezo gani vinatumika kuweka majina haya mfano congolese,japanese,kenyan,zambian,brazilian?5????..kwenye nn naweka ESE na kwenye nn naweka IAN...plz
Hebu jaribu Congolians, Japanians au Britanians. Hapo ndipo penye jibu!wadau naomben wenye kufaam...vigezo gani vinatumika kuweka majina haya mfano congolese,japanese,kenyan,zambian,brazilian?5????..kwenye nn naweka ESE na kwenye nn naweka IAN...plz
Ndugu lugha huwa inataka sana inapotamkwa isilete ukakasi kwa mfano hayo maneno ya kuwatambua watu wakazi wa kila Nchi huwa yanatofautiana sana nawe unaetumia Lugha hasa hii ya Kiingereza ni lazima uyafahamu sana. Raia wa Burkina Faso wanafahamika kama Burkinabe na sio Burkinanese wala Burkinabians. Nchi ambazo raia wake wanatambulika kwa herufi -ese mwishoni ni Sudanese, Rwandese, Senegalese, Congolese, Togolese na Burkina Faso ni Burkinabe
duh mkuu basi kweli ngumu sasa kama chile,argentina,lesotho,swaziland nk.....inakieeje???