kwanini Tanzanian sio tanzanese

New Nytemare

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
3,311
2,424
wadau naomben wenye kufaam...vigezo gani vinatumika kuweka majina haya mfano congolese,japanese,kenyan,zambian,brazilian?5????..kwenye nn naweka ESE na kwenye nn naweka IAN...plz
 
Ndugu lugha huwa inataka sana inapotamkwa isilete ukakasi kwa mfano hayo maneno ya kuwatambua watu wakazi wa kila Nchi huwa yanatofautiana sana nawe unaetumia Lugha hasa hii ya Kiingereza ni lazima uyafahamu sana. Raia wa Burkina Faso wanafahamika kama Burkinabe na sio Burkinanese wala Burkinabians. Nchi ambazo raia wake wanatambulika kwa herufi -ese mwishoni ni Sudanese, Rwandese, Senegalese, Congolese, Togolese na Burkina Faso ni Burkinabe
 
Hebu jaribu Congolians, Japanians au Britanians. Hapo ndipo penye jibu!
 
duh mkuu basi kweli ngumu sasa kama chile,argentina,lesotho,swaziland nk.....inakieeje???
 
Ndugu lugha huwa inataka sana inapotamkwa isilete ukakasi kwa mfano hayo maneno ya kuwatambua watu wakazi wa kila Nchi huwa yanatofautiana sana nawe unaetumia Lugha hasa hii ya Kiingereza ni lazima uyafahamu sana. Raia wa Burkina Faso wanafahamika kama Burkinabe na sio Burkinanese wala Burkinabians. Nchi ambazo raia wake wanatambulika kwa herufi -ese mwishoni ni Sudanese, Rwandese, Senegalese, Congolese, Togolese na Burkina Faso ni Burkinabe

Dah... JF ni mwisho. Leo ningepewa mtihani wa kuitamka Burkina faso wallah ningepata ziro aisee!!!
 
nafikiri kutumia "kiishio"ese au an ina depend herufi ya utangulizi wa jina la nchi husika ktk mpangilio wa alphabet,mf;"c"for china,congo must end with "ese" but "c"ili iwe na kiishio cha "ese" ni lazima ikutane na letter "n"au "l" //suffixes and prefixes books//through that <tanzanese or tanzanian>can be used
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom