Bandari ya Mombasa inaendeshwa na nani?Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'
Author: Jacques Morisset
Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi kuondoka"
Anasema, "Tangu mwaka 2012, Bandari ya Mombasa ilikuwa inatumia chini ya siku moja kwenye foleni hadi kufika kwenye gati ya kupakua mizigo, na hapo itatumia siku 3 tu kupakua mizigo, ambayo imezidi siku moja tu ukilinganisha na viwango vya kimataifa. Viwango vya kimataifa vinataka meli ikae siku 2 bandari ikipakua mzigo, Tanzania tunafika hadi 10 muda mwingine.
Tofauti na bandari ya Dar es Salaam, Bandari ya Mombasa gharama zake za ushuru kwenye mizigo ni "flat rates", yaani anayeleta IST na anayeleta V8 wanalipa ushuru sawa, ila kwa Bandari ya Dar es Salaam, kila mzigo unalipwa kulingana na thamani yake, ambapo mwandishi anasema hali hii inatoa mianya ya rushwa na udanganyifu.
Kutokana na bandari ya Dar es Salaam kutumia muda mrefu kwenye kupakua mizigo, kampuni za usafirishaji na wateja kwa ujumla hupata hasara ya $252 milioni kwa mwaka.
Kutoka na huduma mbovu kwenye bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania kwa mwaka hupoteza $1.7bn/- kwa mwaka, zaidi ya TZS Trilioni 2 kwa mwaka.
Kutoka na huduma mbovu katika bandari ya Dar es Salaam, nchi jirani ambazo Uganda, Burundi, DR Congo, Rwanda, Zambia na Malawi, hupoteza $830 milioni.
Mtunzi anamalizia kwa kusema kwamba, ni lazima Bandari ya Dar es Salaam iwekeze kwenye teknolojia ya kisasa ili kuongeza tija kwenye bandari. Matumizi ya Teknolojia yataondoa mianya ya rushwa na kuongeza ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam.
Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati ambao tunawahitaji zaidi DP World kwani wana teknolojia ya kisasa zaidi ambayo itatusaidia kukuza uchumi wetu kwa haraka zaidi. Rai yangu ni Bunge letu tukufu liridhie uwekezaji huu na hatimaye tusaini mkataba huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Nina imani na Serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.
Naunga mkono hojaUkisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'

Kama tumeweza kujenga Bwawa la nyerere kwa matrillions ya pesa tunashindwa kutengeneza technology ya kisasa Bandarini!!?Unadhani ni rahisi eeeh? Hujui unachosema, unashida.
Bravo. Ongezea tu na kwamba Operator wa sasa TICS mkataba wake umekwisha kwa hiyo ni sawa kabisa kumbadilisha kwa kutumia hivi viwango vya kumataifa. Anyedai kuwa Uzanzibari ndiyo ulikuwa unafuga siku 10 badala ya 2 akapimwe akili, ni ushahidu tosha kuwa yeye ndiye ni mkabila. Nani asiyejua, si ni hayo hayo ya siku zote? Angepewa kabila lake wangeenda kutoa harambee kwa mchungaji Kimaro.Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'
Author: Jacques Morisset
Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi kuondoka"
Anasema, "Tangu mwaka 2012, Bandari ya Mombasa ilikuwa inatumia chini ya siku moja kwenye foleni hadi kufika kwenye gati ya kupakua mizigo, na hapo itatumia siku 3 tu kupakua mizigo, ambayo imezidi siku moja tu ukilinganisha na viwango vya kimataifa. Viwango vya kimataifa vinataka meli ikae siku 2 bandari ikipakua mzigo, Tanzania tunafika hadi 10 muda mwingine.
Tofauti na bandari ya Dar es Salaam, Bandari ya Mombasa gharama zake za ushuru kwenye mizigo ni "flat rates", yaani anayeleta IST na anayeleta V8 wanalipa ushuru sawa, ila kwa Bandari ya Dar es Salaam, kila mzigo unalipwa kulingana na thamani yake, ambapo mwandishi anasema hali hii inatoa mianya ya rushwa na udanganyifu.
Kutokana na bandari ya Dar es Salaam kutumia muda mrefu kwenye kupakua mizigo, kampuni za usafirishaji na wateja kwa ujumla hupata hasara ya $252 milioni kwa mwaka.
Kutoka na huduma mbovu kwenye bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania kwa mwaka hupoteza $1.7bn/- kwa mwaka, zaidi ya TZS Trilioni 2 kwa mwaka.
Kutoka na huduma mbovu katika bandari ya Dar es Salaam, nchi jirani ambazo Uganda, Burundi, DR Congo, Rwanda, Zambia na Malawi, hupoteza $830 milioni.
Mtunzi anamalizia kwa kusema kwamba, ni lazima Bandari ya Dar es Salaam iwekeze kwenye teknolojia ya kisasa ili kuongeza tija kwenye bandari. Matumizi ya Teknolojia yataondoa mianya ya rushwa na kuongeza ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam.
Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati ambao tunawahitaji zaidi DP World kwani wana teknolojia ya kisasa zaidi ambayo itatusaidia kukuza uchumi wetu kwa haraka zaidi. Rai yangu ni Bunge letu tukufu liridhie uwekezaji huu na hatimaye tusaini mkataba huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Nina imani na Serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.
Kuna paka🐈 yupo hapa nyumbani hana akili sana kuliko wewe.Nawee tumwa.
Wanaopinga uwekezaji huo wamemsahau mh.Rais Paul Kagame?!!!Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'
Author: Jacques Morisset
Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi kuondoka"
Anasema, "Tangu mwaka 2012, Bandari ya Mombasa ilikuwa inatumia chini ya siku moja kwenye foleni hadi kufika kwenye gati ya kupakua mizigo, na hapo itatumia siku 3 tu kupakua mizigo, ambayo imezidi siku moja tu ukilinganisha na viwango vya kimataifa. Viwango vya kimataifa vinataka meli ikae siku 2 bandari ikipakua mzigo, Tanzania tunafika hadi 10 muda mwingine.
Tofauti na bandari ya Dar es Salaam, Bandari ya Mombasa gharama zake za ushuru kwenye mizigo ni "flat rates", yaani anayeleta IST na anayeleta V8 wanalipa ushuru sawa, ila kwa Bandari ya Dar es Salaam, kila mzigo unalipwa kulingana na thamani yake, ambapo mwandishi anasema hali hii inatoa mianya ya rushwa na udanganyifu.
Kutokana na bandari ya Dar es Salaam kutumia muda mrefu kwenye kupakua mizigo, kampuni za usafirishaji na wateja kwa ujumla hupata hasara ya $252 milioni kwa mwaka.
Kutoka na huduma mbovu kwenye bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania kwa mwaka hupoteza $1.7bn/- kwa mwaka, zaidi ya TZS Trilioni 2 kwa mwaka.
Kutoka na huduma mbovu katika bandari ya Dar es Salaam, nchi jirani ambazo Uganda, Burundi, DR Congo, Rwanda, Zambia na Malawi, hupoteza $830 milioni.
Mtunzi anamalizia kwa kusema kwamba, ni lazima Bandari ya Dar es Salaam iwekeze kwenye teknolojia ya kisasa ili kuongeza tija kwenye bandari. Matumizi ya Teknolojia yataondoa mianya ya rushwa na kuongeza ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam.
Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati ambao tunawahitaji zaidi DP World kwani wana teknolojia ya kisasa zaidi ambayo itatusaidia kukuza uchumi wetu kwa haraka zaidi. Rai yangu ni Bunge letu tukufu liridhie uwekezaji huu na hatimaye tusaini mkataba huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Nina imani na Serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.
tumeshindwa nini kufanya maboresho miaka yote hiyo licha ya kuwa na ile kampuni ya TICS?Hayo maboresho tufanye wenyewe,SIO lazima tubinafsishe!!
Tuonyeshe ufanisi WETU!
Ndio itapungua. Ukiagiza Gari let say toka Japan, kitu cha kwanza mwenye meli anauliza Tarehe ya kupakua mzigo, akiambiwa atachukua siku 3 za kusubiri anachokifanya anakuongezea bei ya freight, kwenye ngarama ya ushuru wa TRA( wharfage) itapandaKwahiyo bei ya magari itapungua?
Mkuu unadhani hao DP world watakuja na mfumo wao wa mapato kama huu uliopo Tanzania Customs Integrated System (Tancis) ambao una link kati ya bandari na TRA?Nimejaribu kufuatilia ufanisi wa hao DP WORLD...wako pia MSUMBIJI NA SENEGAL.....
Ifikie mahala tukubaliane kuwa uwekezaji wao unakuja kuondoa URASIMU hapo bandarini....
Inakuwaje tunapoteza mapato kwa kuwa tu MIFUMO YA TEHAMA kati ya TPA NA TRA kutokusomana ?!!
Bora tu turidhie uwekezajj tuondokane na kusuasua huko....
#SiempreJMT[emoji120]
dah miaka 60 ya uhuru tumeshindwa aise adi aibu naona mimi!
niulize swali moja kwanini wasimpe mzawa iyo kazi au hata kama wangeungana wafanya biashara wazawa wawili au watatu wakapewa iyo kazi?
Hayo maboresho tufanye wenyewe,SIO lazima tubinafsishe!!
Tuonyeshe ufanisi WETU!
Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?'
Author: Jacques Morisset
Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi kuondoka"
Anasema, "Tangu mwaka 2012, Bandari ya Mombasa ilikuwa inatumia chini ya siku moja kwenye foleni hadi kufika kwenye gati ya kupakua mizigo, na hapo itatumia siku 3 tu kupakua mizigo, ambayo imezidi siku moja tu ukilinganisha na viwango vya kimataifa. Viwango vya kimataifa vinataka meli ikae siku 2 bandari ikipakua mzigo, Tanzania tunafika hadi 10 muda mwingine.
Tofauti na bandari ya Dar es Salaam, Bandari ya Mombasa gharama zake za ushuru kwenye mizigo ni "flat rates", yaani anayeleta IST na anayeleta V8 wanalipa ushuru sawa, ila kwa Bandari ya Dar es Salaam, kila mzigo unalipwa kulingana na thamani yake, ambapo mwandishi anasema hali hii inatoa mianya ya rushwa na udanganyifu.
Kutokana na bandari ya Dar es Salaam kutumia muda mrefu kwenye kupakua mizigo, kampuni za usafirishaji na wateja kwa ujumla hupata hasara ya $252 milioni kwa mwaka.
Kutoka na huduma mbovu kwenye bandari ya Dar es Salaam, serikali ya Tanzania kwa mwaka hupoteza $1.7bn/- kwa mwaka, zaidi ya TZS Trilioni 2 kwa mwaka.
Kutoka na huduma mbovu katika bandari ya Dar es Salaam, nchi jirani ambazo Uganda, Burundi, DR Congo, Rwanda, Zambia na Malawi, hupoteza $830 milioni.
Mtunzi anamalizia kwa kusema kwamba, ni lazima Bandari ya Dar es Salaam iwekeze kwenye teknolojia ya kisasa ili kuongeza tija kwenye bandari. Matumizi ya Teknolojia yataondoa mianya ya rushwa na kuongeza ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam.
Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati ambao tunawahitaji zaidi DP World kwani wana teknolojia ya kisasa zaidi ambayo itatusaidia kukuza uchumi wetu kwa haraka zaidi. Rai yangu ni Bunge letu tukufu liridhie uwekezaji huu na hatimaye tusaini mkataba huu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Nina imani na Serikali ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.
Labda sio sisi Watanzania.Hayo maboresho tufanye wenyewe,SIO lazima tubinafsishe!!
Tuonyeshe ufanisi WETU!