Curtiz
JF-Expert Member
- Oct 1, 2021
- 1,315
- 2,498
Namba 1 hiyo nakubali kabisa. Laiti hizo biashara wangeanza wadogo sana, na kufundishwa nidhamu ya pesa tungekuwa mbali sana.
Huyu bro ameongelea kuhusu watoto wa wakurugenzi na watumishi kadhaa wenye mamilioni ambayo wanarithi watoto wao, ni kweli kabisa hilo. Nikupe mfano hapo kipindi cha covid, wazee wengi wameenda wakaacha mipunga na mali za kufa mtu.
Balaa ni kwamba watoto wengi walikua hawajaandaliwa ili kuendeleza ambacho wazazi wao walichuma na kuweka vitega uchumi. Nina mifano kadhaa ya madogo waliachiwa more than 450m kash hapo 2021. Nikikwambia sahivi wapo ambao hata kodi ya kulipa nyumba hawana unaweza usiamini. Lakini ndio hivo, kwenye miti hakunaga maseremala....balaa tupuu
Wachache wajanja waliweka sehemu sahihi, sahivi ni kweli hizo 500m 700m kawaida alafu wengi wako simpo tu. Sio mabishoo wala nn. Kuna mmoja analeta spea za japanese used cars hapa tz kutoka dubai, anashusha kontena za kutosha za vipuri.
Kizazi hiki nadhani jamii inabidi ibadilike sana kimtazamo mana mambo sio kama miaka ya wazee wetu huko walikua wamemaliza university exam tu, unaenda notes board kucheki kituo cha kazi. Sahivi si mnaona mabalaa tuliyonayo.
Graduates wa digrii hana kitega uchumi chochote cha kumpa hata shilingi mia, yuko bize kuomba ajira ambazo hana mtu wa kumshika apate hizo kazi. Kuna sehemu niliona mdau kaandika kuhusu 90% ya digrii za sasa hazina tija kwa jamii na vijana kiujumla. Yani graduates kujiajiri anaonekana kma mjinga flani wakati kazi zenyewe hakuna.
Mkazo uwekwe kwenye kuvumbua vipaji vya watoto kama hizi academy za michezo ambazo siku hizi kusikia wabongo wanacheza ulaya na nchi zingine ni kawaida tu. Hizi nguvu ndio zinatakiwa kupewa kipaombele na elimu hiyo dunia pia isiachwe ndio.
Siku hizi kuna kazi watu wanafanya online tu tena maokoto mengi tu.
Hivi kwanini makabila kama wakinga na wachaga wasipewe mwanya kutuambia mbinu zao za mafanikio ili hali wengine hata kusoma hawajui lakini kiuchumi wako vizuri na wametoa ajira nyingi tu kwa watanzania wengine. Msitusomeshe digrii za mafuta na gesi mara mining sijui alafu madini yenyewe mshauza kwa wakoloni mambosasa huku nyinyi mkijilimbikizia ukwasi wa kutisha na familia zenu