Kwanini Tanzania hakuna milionea chini ya miaka 30?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,514
Tunaaminishwa kuwa nchi yetu inautajiri mkubwa. Hata mimi naamini hivyo ila cha kushangaza licha ya yote sijawahi kuonana au kusoma kijana chini ya miaka 30 ambaye ni Millionea. Wengi ni watu wazima.

Tatizo ni nini?

1. Watoto kukaa muda mrefu makwao wanaanza utafutaji ukubwani?

2. Rika hilo haliaminiki na taasisi za kifedhau au hawakopesheki mitaji mikubwa?

3. Wabongo umri huo hawana exposure na utajiri na mbinu za kutoboa.

Unadhani kwa nini vijana wengi chini ya umri wa miaka 30 sio mamilionea?

UPDATE:
Millionea ni nani?
refers to those whose assets total at least one million units of a high-value currency, such as the United States dollar, euro, or pound sterling.
Ni wale ambao thamanj za mali zao zina angalau uniti moja ya millioni ya fedha zenye thamani ya juu kama USD, Euro au pound.
 
Mbona hata mimi ni milionea nadhani hata wew ni Milionea pia

Bilionea ndio mtiti
Screenshot_20231205-110734_1.jpg
 
Tunaaminishwa kuwa nchi yetu inautajiri mkubwa. Hata mimi naamini hivyo ila cha kushangaza licha ya yote sijawahi kuonana au kusoma kijana chini ya miaka 30 ambaye ni Millionea. Wengi ni watu wazima.

Tatizo ni nini?

1. Watoto kukaa muda mrefu makwao wanaanza utafutaji ukubwani?

2. Rika hilo haliaminiki na taasisi za kifedhau au hawakopesheki mitaji mikubwa?

3. Wabongo umri huo hawana exposure na utajiri na mbinu za kutoboa.

Unadhani kwa nini vijana wengi chini ya umri wa miaka 30 sio mamilionea?
Milionea kuanzia ngapi!!?hata million Moja ni millionea tayari!
 
Nchi haina hata mzawa mwenye uwezo wa kifedha, wote tuliokua nao wana dual citizenship, R.MENGI endelea kupumzika kwa amani, ni wewe pekee uliyeonyesha wazawa wakiwezeshwa wanaweza, nchi imekumbatia Waarabu, wahindi, wasomali, poor of the poorest akikutwa na vipea 10 ya kanga pale kasumulu border ni majanga, ila asas akinunua scania 500 bila kulipia ushuru ni kawaida tu
 
Tunaaminishwa kuwa nchi yetu inautajiri mkubwa. Hata mimi naamini hivyo ila cha kushangaza licha ya yote sijawahi kuonana au kusoma kijana chini ya miaka 30 ambaye ni Millionea. Wengi ni watu wazima.

Tatizo ni nini?

1. Watoto kukaa muda mrefu makwao wanaanza utafutaji ukubwani?

2. Rika hilo haliaminiki na taasisi za kifedhau au hawakopesheki mitaji mikubwa?

3. Wabongo umri huo hawana exposure na utajiri na mbinu za kutoboa.

Unadhani kwa nini vijana wengi chini ya umri wa miaka 30 sio mamilionea?

Vijana wenye access na mitaji mizuri Wanachelewa kuanza utafutaji. Muda mwingi sana wanaupoteza shule.

Mfano mtoto wa Mwanasiasa ama mkurugenzi. Mtoto huyu akianza utafutaji mapema akiwa na 18 years kwa mfano. Ni rahisi sana kwake kuwa milionea under 30. Sababu kupata mtaji ni rahisi

Sasa shida mtoto huyu mwenye access na mtaji.. ndie anapoteza muda mrefu shuleni...
 
Nchi haina hata mzawa mwenye uwezo wa kifedha, wote tuliokua nao wana dual citizenship, R.MENGI endelea kupumzika kwa amani, ni wewe pekee uliyeonyesha wazawa wakiwezeshwa wanaweza, nchi imekumbatia Waarabu, wahindi, wasomali, poor of the poorest akikutwa na vipea 10 ya kanga pale kasumulu border ni majanga, ila asas akinunua scania 500 bila kulipia ushuru ni kawaida tu
tatizo mnnaendekeza starehe
 
Tunaaminishwa kuwa nchi yetu inautajiri mkubwa. Hata mimi naamini hivyo ila cha kushangaza licha ya yote sijawahi kuonana au kusoma kijana chini ya miaka 30 ambaye ni Millionea. Wengi ni watu wazima.

Tatizo ni nini?

1. Watoto kukaa muda mrefu makwao wanaanza utafutaji ukubwani?

2. Rika hilo haliaminiki na taasisi za kifedhau au hawakopesheki mitaji mikubwa?

3. Wabongo umri huo hawana exposure na utajiri na mbinu za kutoboa.

Unadhani kwa nini vijana wengi chini ya umri wa miaka 30 sio mamilionea?
Mbona hujawaweka hao mamilionea wa Kenya, Uganda tukawaona?
 
Back
Top Bottom