Tunaaminishwa kuwa nchi yetu inautajiri mkubwa. Hata mimi naamini hivyo ila cha kushangaza licha ya yote sijawahi kuonana au kusoma kijana chini ya miaka 30 ambaye ni Millionea. Wengi ni watu wazima.
Tatizo ni nini?
1. Watoto kukaa muda mrefu makwao wanaanza utafutaji ukubwani?
2. Rika hilo haliaminiki na taasisi za kifedhau au hawakopesheki mitaji mikubwa?
3. Wabongo umri huo hawana exposure na utajiri na mbinu za kutoboa.
Unadhani kwa nini vijana wengi chini ya umri wa miaka 30 sio mamilionea?
Hapo labda shafinez asee jamaa mzigo anao kwa wanaonaa Mwanza tunaona mafanikio Yake na hzo Appartment zake za mkolani kweli anaweza Kua anagusa 500m au zaidiWapo bwana kuna,
1-Chief Godlove.[emoji1787]
2- Don-Shafineyz.[emoji1787]
3- Dulla star Dnyota.
Ndege weny mabawa ya rangi moja ,huruka pamoja.unaishia kuwazunguka tu kama mchawi
Wachache sana yaani ni mzunguko wa biashara zao ...Pesa wanazozungusha na assets kadhaa.Kua na mtaji au mali ya 300m kwa 500m wengi wanazo ila wengi ni za kurithi ila ikiwa annual ñet balance (akiba) sio rahisi kupatikana hapa Tanzania.
weweee jamaa!!!,,,nenda ifakara,gairo,shinyanga {kuna madogo wana piga mamilioni kwa kilimo na bishara ya nafaka},nenda minadani kama pale pugu,kuna madogo wanapiga ela ya mifugo,nenda geita,tarime na mirerani,kuna machalii wanapiga chapaa za madini!!!Tunaaminishwa kuwa nchi yetu inautajiri mkubwa. Hata mimi naamini hivyo ila cha kushangaza licha ya yote sijawahi kuonana au kusoma kijana chini ya miaka 30 ambaye ni Millionea. Wengi ni watu wazima.
Tatizo ni nini?
1. Watoto kukaa muda mrefu makwao wanaanza utafutaji ukubwani?
2. Rika hilo haliaminiki na taasisi za kifedhau au hawakopesheki mitaji mikubwa?
3. Wabongo umri huo hawana exposure na utajiri na mbinu za kutoboa.
Unadhani kwa nini vijana wengi chini ya umri wa miaka 30 sio mamilionea?
Upumbavu huu, starehe gani hiyo mkuu?,unemployment rate hapa nchini ipo almost 40%,graduates more than 67%,sasa hizo starehe ni zipi?,endelea kuishi kwenye ivory towel yako na ukipulizwa na AC, ila elewa kuna watanzania wenzako mpaka mchana huu hawajui their next meal wataipata vipitatizo mnnaendekeza starehe
Wapo mbona yupo dogo mmoja nimeskuli nae primary ana namba chafu sana huko LiwaleTunaaminishwa kuwa nchi yetu inautajiri mkubwa. Hata mimi naamini hivyo ila cha kushangaza licha ya yote sijawahi kuonana au kusoma kijana chini ya miaka 30 ambaye ni Millionea. Wengi ni watu wazima.
Tatizo ni nini?
1. Watoto kukaa muda mrefu makwao wanaanza utafutaji ukubwani?
2. Rika hilo haliaminiki na taasisi za kifedhau au hawakopesheki mitaji mikubwa?
3. Wabongo umri huo hawana exposure na utajiri na mbinu za kutoboa.
Unadhani kwa nini vijana wengi chini ya umri wa miaka 30 sio mamilionea?
Millionea hapimwi kwa fedha za nyumbani. Ukisema hivyo zimbabwe kulikuwa na mamilionea wengi sana ambao ni masikini wa kutupwa.Wapo kibao tena wapo kweny cycle yangu kama marafiki, yaani madogo wenye hiz million 500, 300 kawaida.
Labda useme kwa $1mil na kuendelea
Kuanzia 1 Million US au Pound au EuroMilionea kuanzia ngapi!!?hata million Moja ni millionea tayari!
Baada ya mgogoro mkubwa umilionea upimwe kwa currency ipi maana ukisema kila mtu ajipimie utakuwa na mamilioea wengi sana ambao ni masikini wa kutupwa baadhi ya nchi.Sasa hapo inategemea kama ni Mamilionea in terms of Tsh Currency wapo wengi sana maana utakua unamaanisha vijana wanaomiliki Mali za kuanzia Tsh Milioni 1 na kuendelea,, Lakini kama ni Mamilionea in terms of world standard ya USD currency hapo kuwapata hata 100 ni kasheshe sanaaa maana utakua unamaanisha wenye Mali za $1Million na zaidi(ambazo ni Tsh 2.5Billioni na zaidi)
Una pointUnder 30 Kuwa multiple millionaire is hardest thing Kwa nchi Kama Tanzania
@Nidhamu ya PESA
Family back up
talent
self-awareness
@Spirituality strengthen
Sasa hayo mambo yote MTU hauna hata moja huwezi kuwa kuwa multimillionaire kwasababu game inakuwa haipo upande wako.
Vijana wengi tupo employed we earn 1M per month mikopo kibao tulichofanikiwa ni nyumba gari ,kuoa tu we no longer think about becoming rich/richer