Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,702
Nchi hii ni ya maajabu sana, ukipita pale mwenge junction, utakuta kuna kituo cha mqendokasi kila upande kinajengwa.
Kwa utalaam wa ujenzi, unatakiwa kuondoa vitu kama stand au masoko karibu na junction.
Imekuwaje tanroad wameamua kujenga vituo vya mqendo kadi mita chache kutoka junction wakati miaka yote tunaomb serikali ijenge flyover kwenye hiyo junction.
Kwanini wasizigeze umbali ambao hata flyover ikijengwa hawata lazimika kubomoa?
Kwanini hawaja jifunza kilicho tokea kituo cha mwendo kasi ubungo maji?
Kwanini hawaheshimu kodi zetu kuchezewa kiasi hiki.
Kiuhandishi sio salama kituo cha abiria kuwa karibu na junction yenye traffic kubwa kama mwenge kwa sababu hata kusipo kuwepo flyover kita attract traffic kubwa bajaji, pikipiki na daladala kiasi cha kusababisha foleni isiyo ya lazima.
Tanroad watujibu wametumia.kigezo kipi kujenga hivyo vituo viwili?