Mzungumswahili
Member
- Jul 12, 2018
- 74
- 97
Nasikitika sana kuona kila nchi ninazo tembelea Africa na hata Ulaya na Marekani taa za barabani ni mwanga mweupe wenye kumulika hata sindano unaiona usiku.
Sijui Tanesco wana matatizo gani kufunga taa manjano barabarani amabazo hazina kabisa mwanga na wala hazileti faida yoyote.
Hebu tuone majirani zetu Kenya au Kigali taa mwanga mweupe unapendeza na unaona barabara kama unaendesha gari vizuri.
Pia barabara zote njiani nakumbuka hapa Dar zamani kuna black and white kila tofali kwenye matofali ya barabarani kama miaka 60 na 70 sasa sijui kwa nini wameondosha.
Leo wanasifia nchi nyingine kwa mfumo wa barabara zao labda kwa ajili ya urembo huo ambao ulikuwepo miaka 70 leo kwa nini wameondoa barabara hazina ladha ya barabara kama zile za mataifa ya wenzetu.