glass amo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,848
- 4,678
rekebisha hapo maandishi yakoSoda za kaskazini huwa suziamini
rekebisha hapo maandishi yakoSoda za kaskazini huwa suziamini
Ni vizuri unatunza afyaMiaka 6 sita hivi soda haijapita kinywani pangu, Miaka 21 pombe haijapita kinywani pangu.
Mkuu wewe ni Tarzan nini?Miaka 6 sita hivi soda haijapita kinywani pangu, Miaka 21 pombe haijapita kinywani pangu.
Maji ya kule yanachangia,ukinywa coca ya bonite ni tofauti na huu uchafu tunaokunywa hapa dasilamuSoda zote za Kaskazini ni tamu...
Hata bia pia tamu...
Nb: Sinywi pombe...
Unamaanisha nini mkuu!?Mkuu wewe ni Tarzan nini?
Namaanisha labda unaishi msituni hizo bidhaa hazipatikani, maana kwa muda wote huo kukwepa hizo vitu sio kawaidaUnamaanisha nini mkuu!?
weeeeee weeeeeeeee weeeeeeeee nikatembee kifua mbere wakati sina hata mia hukoooo!!!ha haa sawaaa..nenda chatle mkuu
Soda iko kwa majaribio kvp, acha kuwapa matumaini, soda ina miaka mingi sana kaskazini, umri sawa na wa mtu mzima.Ha ha ha.. iko kwa majaribio kwanza ikipendwa itafika tu kote.. Si unajua hata BALIMI ilikuwa kanda fulani na tangazo lake lilikuwa Radio free Africa tuu, sasa hivi ni kitu inagongwa nchi nzima?
Hapana, Naishi town kabisa kwenye vilabu na baa za kutosha, Naishi mtaa wa watukutu, mtaa uliomshinda waziri mkuu mstaafu Bw Mizengo P K Pinda. (Starehe zipo sana kama pale Club 55, Club Galaxy, Shouters, The Kiss, The Stone, N.K) Ila kinywaji changu ni maji na juisi tu. Sipendi burudani au kujirusha viwanja.Namaanisha labda unaishi msituni hizo bidhaa hazipatikani, maana kwa muda wote huo kukwepa hizo vitu sio kawaida
Hongera sana mkuuHapana, Naishi town kabisa kwenye vilabu na baa za kutosha, Naishi mtaa wa watukutu, mtaa uliomshinda waziri mkuu mstaafu Bw Mizengo P K Pinda. (Starehe zipo sana kama pale Club 55, Club Galaxy, Shouters, The Kiss, The Stone, N.K) Ila kinywaji changu ni maji na juisi tu. Sipendi burudani au kujirusha viwanja.
BURUDANI ZANGU NI NOVEL, SOCCER, R&B, POP,SOUL,COUNTRY,NACH & DRAMA
hahaaa...nenda mkuu"" mmepelekewa ..tawi LA bank..mnajengewa" uwanja wa kisasa wa ndege ..na trafic light juu mmewekewa...so unataka nini tena ..mkuuweeeeee weeeeeeeee weeeeeeeee nikatembee kifua mbere wakati sina hata mia hukoooo!!!
thipatakiiiiiii
uko sahihi kabisa.... mimi nipo Dar ila Ginger ni chaguo langu By the way Pombe Umeacha au haujawai tumia kabisa?Soda zote za Kaskazini ni tamu...
Hata bia pia tamu...
Nb: Sinywi pombe...
Hongera kwa kutokunywa pombe
Hata kanda ya ziwa ipo,hasa MwanzaView attachment 783398
Habari wana JF,
Hii soda ni tamu sana na ina burudisha.
Nashangaa kwa Tanzania inapatikana mikoa ya Kaskazini kama vile Moshi na Arusha.
Embu wataalamu mtujuze.
Chaihivi zee zima kweli unakunywa soda, na watoto wako wanywe nini sasa?