Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,941
- 9,352
UMEKOSAAAAA! Nipe mji nikuambieeeenilikuwepo siku hiyo "" kilichoendelea Binti alichukuwa creti na kukuacha solemba...alikudanganya kuwa yuko period
UMEKOSAAAAA! Nipe mji nikuambieeeenilikuwepo siku hiyo "" kilichoendelea Binti alichukuwa creti na kukuacha solemba...alikudanganya kuwa yuko period
nzuri sana kuchanganyia na GRANTSIko kwenye utaratibu yaani imetulia
Hii ni soda jamii ya cocacola, ni Krest, Dar es Salaam ipo Krest na zipo Krest jamii nyingi, jamii nyingine zote za Krest zipo ila hiyo ginger ale ndiyo haipo Dar es SalaamKwanini maji ya ndanda yako kanda ya kusini,kwanini bidhaa za jambo(soda,maji)vinapatikana kanda ya ziwa,kwanini....
Iko kwenye utaratibunzuri sana kuchanganyia na GRANTS
Hivi huko kaskazini ndiyo wapi?
Ni kweli walipaswa wailete kwenye jiji letu la Makonda
Tunashukuru kwa kujua kwamba nyinyi wavulana wa mikoani mlikwishapimwa tezi dume kwa njia ya asili, ya kuingiziwa mkono/vidole makalioniHizo ni za watu wa mikoani tu. Wanaume wa dar Mkishapimwa tezi dume tutazileta.
Mkuu kuna bidhaa nyingi tu ambazo zinapatikana kwenye kanda fulani lakini kwenye kanda nyengine hazipo,na kama zikiwepo basi ni kwa uchache sana,kuna mzungu nlikutana naye anatafuta stoney tangawizi,aliwahi inywa kwenye museum ya coca cola huko marekani,lakini kwao haipo madukani.Hii ni soda jamii ya cocacola, ni Krest, Dar es Salaam ipo Krest na zipo Krest jamii nyingi, jamii nyingine zote za Krest zipo ila hiyo ginger ale ndiyo haipo Dar es Salaam
Balimi ni bia ya taifaHa ha ha.. iko kwa majaribio kwanza ikipendwa itafika tu kote.. Si unajua hata BALIMI ilikuwa kanda fulani na tangazo lake lilikuwa Radio free Africa tuu, sasa hivi ni kitu inagongwa nchi nzima?
ha haa sawaaa..nenda chatle mkuuUMEKOSAAAAA! Nipe mji nikuambieeee
Chiu mtamu Kaka,wewe tena " na chiu " mamaeee..lazima ufie juu ya kisema
Ngoja watu wa cocacola waje watakujuzahivi Ale si aina ya bia? kwanini wameiita ale?
Picha tafadhali
Tumefunga ndugu...!
Funga tu mkuu, tena usiingie humu jamii forum maana kitakachofuata utaonyeshwa nyama ya nguruwe iliyobanikwaTumefunga ndugu...!