Hata mwanza ipo, Mbeya sina uhakika Ila ilikuwepo enzi hizo nakandamiza mabapa ya Konyagi, nilikuwa naitumia sanaHabari wana JF,
Hii soda ni tamu sana na ina burudisha.
Nashangaa kwa Tanzania inapatikana mikoa ya Kaskazini kama vile Moshi na Arusha.
Embu wataalamu mtujuze.
Soda siyo kwaajili ya watoto Mkuu, tafuta notes sahihihivi zee zima kweli unakunywa soda, na watoto wako wanywe nini sasa?
Ha ha ha, ila kuna ka ukweli fulani hv DonatilaSoda zote za Kaskazini ni tamu...
Hata bia pia tamu...
Nb: Sinywi pombe...
Mkuu huu uzi nimekuachia, inabidi uubadilishe usomeke "mambo makuu krest ginger ale iliyonifanyia"unanikbusha mbali sana! kuna mwanamke niliimaliza nae chuo arusha! nlikuwa nampenda nikamwambiaga akanipotezea! alikuwa anapenda sana hiyo soda! miaka miwil ikapta nikaenda arusha kikaz nikanunua cret zima nikaja nalo Dar!
nikamtafta huyo demu nikamwabia nimekuja na kreti la ginger ale! akasema yupo tayari aje alale kwangu nimpe creti hilo
kilichondelea hapo msomaji endelea tu kumaliziaaaaa............😀😀😀
😀😀😀😀😀😀Mkuu huu uzi nimekuachia, inabidi uubadilishe usomeke "mambo makuu krest ginger ale iliyonifanyia"
Watuletee na sisi wakazi wa jiji la MakondaHata mwanza ipo, Mbeya sina uhakika Ila ilikuwepo enzi hizo nakandamiza mabapa ya Konyagi, nilikuwa naitumia sana
mmh kuna sehemu hakuna hii soda mbona kanda ya ziwa ipo sanaHabari wana JF,
Hii soda ni tamu sana na ina burudisha.
Nashangaa kwa Tanzania inapatikana mikoa ya Kaskazini kama vile Moshi na Arusha.
Embu wataalamu mtujuze.
wewe tena " na chiu " mamaeee..lazima ufie juu ya kisemaAdi Mademu wake pia ni watamu
hahaaa haaa erector 50/100 noma"" imenipelekea mtu kuzimu mamaeeNdio maana watu wanaugua visukari na ugonjwa wa moyo sana wengine bila kujijua mpaka wagonga erector.
nilikuwepo siku hiyo "" kilichoendelea Binti alichukuwa creti na kukuacha solemba...alikudanganya kuwa yuko periodunanikbusha mbali sana! kuna mwanamke niliimaliza nae chuo arusha! nlikuwa nampenda nikamwambiaga akanipotezea! alikuwa anapenda sana hiyo soda! miaka miwil ikapta nikaenda arusha kikaz nikanunua cret zima nikaja nalo Dar!
nikamtafta huyo demu nikamwabia nimekuja na kreti la ginger ale! akasema yupo tayari aje alale kwangu nimpe creti hilo
kilichondelea hapo msomaji endelea tu kumaliziaaaaa............😀😀😀
Ni kweli walipaswa wailete kwenye jiji letu la MakondaLabda hawajatanua wigo kibiashara tu maana kuna bidhaa nyingi pia huwa zinapatikana maeneo fulani fulani tu...
Ni vizuri kusikia hayommh kuna sehemu hakuna hii soda mbona kanda ya ziwa ipo sana
Ngoja nitaagiza mtu kutoka huko anitumie niionje maana umeisifia sana...Ni kweli walipaswa wailete kwenye jiji letu la Makonda
Iko kwenye utaratibu yaani imetuliaNgoja nitaagiza mtu kutoka huko anitumie niionje maana umeisifia sana...