Mo
Naunga mkono hoja, mimi ni muumini wa falsafa ya Socrates, Plato, Machiveli na Nyerere, kiongozi mzuri ni yule mwenye good brain, na sio popularity, angalia Kigoma, a good brilliant brain imeshindwa na lile lichawa empty shells, kwasababu tuu, lichawa linapendwa sana na watu, na kiukweli liko very popular!, hata ukinishindanisha mimi university graduate, ukanishindanisha na Daimondo ambaye ni standard 7 dropout, nitashindwa vibaya kwasababu Dai ni very popular!
Mfano mzuri ni Top 3 wa urais wetu 2005 we had top brain, Prof. Mwandosya, Top Diplomat Dr. Salim, na GPA ya 2.1, JK, siku ya mwisho kwenye Mkutano Mkuu wa CCM, wakasema tumchague mtu ambaye ni mwenzetu, mwenye sura nzuri. anayependwa na watu kutokana na cheko na bashasha zake!. JK akapita!, je unajua tulivuna nini miaka 10 ya JK?.
Akaingia mwamba JPM, top brain, angalia ile miaka yake mitano tuu amefanya nini na by the time anatwaliwa, angalia ameacha nini?! Compare and Contrast kati ya kuongozwa na good big brain vs kuongozwa na average .
Hapa sasa...
View: https://youtu.be/HT7mizKCseQ?si=meaghk2CZ_Utm08l
P