Kwanini Socrates hakuamini katika Demokrasia

Kwanini Socrates hakuamini katika Demokrasia

Hujawahi kuwa na demokrasia nchi kwako, usijibaraguze. Labda Malawi, Kenya, Zambia, Botswana, Ghana, Namibia, Senegal na Africa Kusini wakilalamikia demokrasia ndio watakuwa na hoja kidogo.
Demokrasia ipo na hata nchi inatambulika kama nchi ya kidemokrasia. Labda useme demokrasia iliyopo haitekelezei ipasavyo.

Mfano umepaki gari bovu nyumbani kwako. Hauwezi ukasema hakuna gari. Gari lipo lakini ni bovu
 
Huelewei maana ya demokrasia ndio maana unafikiri demokrasia ni kama gari kwamba unaweza kuwa nalo halitumiki, kama ni hiyo basi hata udikteta ni kama gari na unaweza kuwa nalo ila halitumiki na kwa mchanganyiko huo hakuna hata mantiki ya kujadili demokrasia wala udikteta.
 
Karibia nchi zote za Magharibi zilikuwa na mfumo wa ufalme usiofuata katiba kama uarabuni na wakaachana na huo ujinga wakachakua mfumo wa jamuhuri/republic au constitutional monarchy.
Hawakuachana na ujinga. Iko hivi, mfumo wa uchumi ndiyo unaamua mfumo wa kisiasa uwe namna gani. Makabaila wanahitaji mfumo wa kifalme na uaristocrats ili kusurvive. Mabepari wanahitaji demokrasia ili kusurvive.
Demokrasia ni mfumo wa siku nyingi lakini lakini ulikuja kusurvive pale ubepari ulipouhitaji.

Usifikiri watu wenye akili walikaa wakasema demokrasia ni nzuri sana. Mabepari kudai uwakilishi kwenye maamuzi na kutunga sheria ndiko kumefanya demokrasia isimame hadi leo. Na tunakoeleka ni Oligarchy sababu kotekote demokrasia inachukuliwa na matajiri wachache.
 
Hawakuachana na ujinga. Iko hivi, mfumo wa uchumi ndiyo unaamua mfumo wa kisiasa uwe namna gani. Makabaila wanahitaji mfumo wa kifalme na uaristocracy ili kusurvive. Mabepari wanahitaji demokrasia ili kusurvive.
Demokrasia ni mfumo wa siku nyingi lakini lakini ulikuja kusurvive pale ubepari ulipouhitaji.

Usifikiri watu wenye akili walikaa wakasema demokrasia ni nzuri sana. Mabepari kudai uwakilishi kwenye maamuzi na kutunga sheria ndiko kumefanya demokrasia isimame hadi leo. Na tunakoeleka ni Oligarchy sababu kotekote demokrasia inachukuliwa na matajiri wachache.
Acha porojo zako, Raia wazungu kwa makundi mbalimbali walipigana kwa jasho na damu dhidi ya watawala wao wafalme kuwaondoa kabisa mfano Ufaransa na Marekani au kuwalazimisha kuingia katika constitutional monarchy mfano Uingereza. Raia wa Russia, Uarabuni, China na Africa ambapo wote kwa sasa ni mabepari hawakuwahi kufanya harakati za kiasi cha wazungu kutafuta demokrasia, huenda pia ni kwa sababu ya kukosa uelewa wa demokrasia na vitu kama age of enlightenment kama ilivyokuwa kwa wazungu wa Magharibi.
 
Harakati za kidemokrasia zilianzia huko kwa wazungu sababu ndiyo walioanza kuwa mabepari. So hazikuanzia China na Afrika sababu ubepari haukuanzia huko.

Si kwamba mabepari hao walikuwa wema sana. Harakati zao ni ili wafanikishe mambo yao na watunge sheria zao. Walipe kodi kidogo, walipe mishahara midogo, Waunde makampuni nk nk. Leo wamekuwa wakubwa hadi wanachagua nani awe Rais, nani awe mbunge nk nk.
 
hapa afrika tatizo kubwa ni maarifa madogo ya kutatua changamoto kwa wanaongoza na wanaongozwa pia --- mambo ya rushwa , uadilifu , hujuma ni vitu vya nyongeza tu
Lakini kumbuka.... Afrika nchi za Afrika zilizotawaliwa na wazungu kwa muda mrefu kama Afrika kusini na wakaweka makazi ya kudumu zimeweza kupata maendeleo kwa kutumia hao hao wananchi na maarifa yao madogo! Afrika Kusini wazungu walitumia watu weusi kujenga nchi. Hivyo tatizo linaweza kuwa ni uongozi?
 
Hujawahi kuwa na demokrasia nchi kwako, usijibaraguze. Labda Malawi, Kenya, Zambia, Botswana, Ghana, Namibia, Senegal na Africa Kusini wakilalamikia demokrasia ndio watakuwa na hoja kidogo.
Kikatiba Tanzania ni nchi ya kidemokrasia lakini kuna changamoto za kimfumo zinafanya hiyo demokrasia isiweze kuwa applicable kwa ufanisi, ndicho ninachotaka kukwambia
 
Kikatiba Tanzania ni nchi ya kidemokrasia lakini kuna changamoto za kimfumo zinafanya hiyo demokrasia isiweze kuwa applicable kwa ufanisi, ndicho ninachotaka kukwambia
Katiba ya Tanzania inasema pia sisi ni nchi ya kijamaa, wewe unauona ujamaa wowote Tanzania??
Kwa hiyo DRC, DPRK na PDRE ni nchi za kidemokrasia kwa sababu tu zinaitwa hivyo? Huna tofauti na CCM waliosema tume ya uchaguzi ni huru kwa sababu sasa hivi inaitwa INEC badala ya NEC.
 
  • Thanks
Reactions: Lax

Sisi ambao tupo hapa ndani tunaweza kuelewa hizo loopholes za kikatiba lakini jamii za kimataifa ni ngumu kujua, ni mpaka watume observers wao.

Naelewa kuna danganya toto tunafanyiana kwenye haya masuala ya kikatiba na uchaguzi lakini mwisho wa yote kile ambacho kipo kwenye makaratasi ndicho kinatambulika rasmi. Kwaiyo tuunganishe nguvu kurekebisha kile kilichoandikwa kwenye vitabu vyetu vya sheria.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Lakini kumbuka.... Afrika nchi za Afrika zilizotawaliwa na wazungu kwa muda mrefu kama Afrika kusini na wakaweka makazi ya kudumu zimeweza kupata maendeleo kwa kutumia hao hao wananchi na maarifa yao madogo! Afrika Kusini wazungu walitumia watu weusi kujenga nchi. Hivyo tatizo linaweza kuwa ni uongozi?
Nakupata mkuu na nikweli uongozi hatuwezi ukwepa, basi tunaweza sema vyote kwa pamoja, maana hawa viongozi wetu tukiingia deep tunakuta kuna smart brains chache
 
Uhai umeumbwa, na kifo pia kimeumbwa!, unazaliwa siku moja, na kufa pia ni siku moja!, ile siku mtu unazaliwa, unakuwa umeisha andikiwa, utakufaje na utakufa lini!, Malaika mtoa roho, Jibril, anawapitia viumbe wote trips saba mara sabini daily, ili saa yako ikifika, anaondoa roho yako bila kuongeza hata nukta moja ya sekunde!.

Hivyo kama na mimi hivyo ndivyo nilivyoandikiwa, there is nothing anybody can do kuzuia!.

P
Kusema kifo kimeumbwa ni sawa na kusema gari kuharibika kumeundwa, it's BS.
 
Hukuniambia, uliniuliza swali.

Yoda tatizo lako unafikiri dunia inatakiwa kuongozwa kwa mfumo mmoja. Hilo ndilo tatizo lako.
Ndio maana kuna watu tofauti, culture tofauti, Hali ya hewa tofauti,, mazingira tofauti.

Ukijua hekima iliyopo kwenye mambo kama hayo hutoshangaa
 
Mo

Naunga mkono hoja, mimi ni muumini wa falsafa ya Socrates, Plato, Machiveli na Nyerere, kiongozi mzuri ni yule mwenye good brain, na sio popularity, angalia Kigoma, a good brilliant brain imeshindwa na lile lichawa empty shells, kwasababu tuu, lichawa linapendwa sana na watu, na kiukweli liko very popular!, hata ukinishindanisha mimi university graduate, ukanishindanisha na Daimondo ambaye ni standard 7 dropout, nitashindwa vibaya kwasababu Dai ni very popular!

Mfano mzuri ni Top 3 wa urais wetu 2005 we had top brain, Prof. Mwandosya, Top Diplomat Dr. Salim, na GPA ya 2.1, JK, siku ya mwisho kwenye Mkutano Mkuu wa CCM, wakasema tumchague mtu ambaye ni mwenzetu, mwenye sura nzuri. anayependwa na watu kutokana na cheko na bashasha zake!. JK akapita!, je unajua tulivuna nini miaka 10 ya JK?.

Akaingia mwamba JPM, top brain, angalia ile miaka yake mitano tuu amefanya nini na by the time anatwaliwa, angalia ameacha nini?! Compare and Contrast kati ya kuongozwa na good big brain vs kuongozwa na average .

Hapa sasa...

View: https://youtu.be/HT7mizKCseQ?si=meaghk2CZ_Utm08l
P

Hapo kwa kigoma 🚮, alikuwa ni msomi mzuri darasani lakini hakuelimaka kichwani, alikuwa ni mfia dini na ndio maana uongozi ulimshinda.

Njoo kwa JK ana GPA ya 2, ila kaelimika na kuelewa nchi inataka nini, ndio maana mwinyi alimpa wizara zaidi ya 3 kuziongoza kwa wakati mmoja.

Njoo kwa jiwe aliejenga miundombinu mingi sana , lakini aliumiza Wananchi na uchumi wa Nchi kwa ujumla huku akidai hayo ndio maendeleo,Yan anahamu ya kufanya maendeleo bila kufanya priority.

Kusoma na kuelimika kwa MTU ni jambo ( parallel) muhimu sana, na hasa kama tunataka viongozi
 
Yoda tatizo lako unafikiri dunia inatakiwa kuongozwa kwa mfumo mmoja. Hilo ndilo tatizo lako.
Ndio maana kuna watu tofauti, culture tofauti, Hali ya hewa tofauti,, mazingira tofauti.

Ukijua hekima iliyopo kwenye mambo kama hayo hutoshangaa
Wapi nimesema nafikiria Dunia inatakiwa kuongozwa na mfumo mmoja??
Ninatumbua vizuri dunia inaongozwa kwa mifumo mbalimbali ila ukweli ni kwamba binadamu waliofikia kiwango cha juu zaidi cha kuelimika na kustaarabika mfumo unaowafaa ni demokrasia.
 
Back
Top Bottom