Kwanini situmii screen protectors kwenye simu?

We ni mpuuzi.

Ni sawa na useme sivai ndala(sh 1000) kwakuwa kuna viatu vya hadi 100,000 unashindwa kuelewa kuwa aliyevaa hizo za buku sio sawa na anayetembea peku.
Kanunue simu yenye gorilla glass 6 na uache kulialia.

Nmewawekea video hata hamjaangalia. JF ina mazuzu wengi sana.
 
Hivi ziliishia wapi zile liquid protectors?[emoji16]
Hahahahah sijawahi haya kuzifatilia.

Saiv kuna kitu kunaitwa Gloss halogel film na mattle halogel film. Hivyo labda ndio vitu nafikiria kuweka kwenye kioo cha simu yangu.
 
Wabongo kazi kweli

Simu iwe na protector au isiwe nayo ikidondoka itapasuka tu
Nasisitiza angalia video niliyoambatanisha kwenye uzi wangu.

Usiishi kwa kukariri.
 
Unashauri tufanyeje sasa sie watumiaji wa protector za buku tatu, tunalialia na kuuziwa buku mbili mia tano....tutumie zipi?
nimeweka tu angalizo msiwe na hopes kubwa siku yakiwapata.
 
Protector ni kwa ajili ya kulinda display na zinasaidia sana ukidondosha haiwezi kupasua display ila kioo cha nje tu ndio kitaathirika.
Nimekuwekea video hiyo si uangalie basi kama kweli zinalinda?

Labda kama zinalinda mikwaruzo ya kioo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…