Ni kweli. Nchi imeparanganyika kabisa. Utu, heshima na hadhi ya mtu vimetoweka kabisa. Mama Samia anaonekana ana nia ya kuturudisha kwenye mstari lakini bado ana woga wa kuonekana anamkosoa na anaogopa kuwaudhi wafuasi wa Mwendazake ambao yeye mwenyewe mama amewarithi kwenye serikali yake.
Yaaani wapo wanaondelea kusifu, kutukuza na kuabudu!! Wapo pia wa kukemea, kulaani na kulalamika!!Jinsi ulivyoelezea ni kama huyo mtu bado yuko hai.
Nitakusahihisha kwenye Namba 2 kuhusu kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii kubakia 2 tu.Magufuli Rais mstaafu kafanya mengi mazuri kwa kipindi chake. Lakini ikumbukwe kosa halifutwi kwa kutenda wema bali kwa kulirudia na kutubu au kulifuta.
Kwa upande wangu mambo haya machache ninayaita makosa ya Magufuli ambaye hapaswi kusamehewa;
1. Kuondoa fao la kujitoa kwa watumishi wa umma na taasisi binafsi.
2. Kuvunja mifuko ya hifadhi ya jamii na kuuunda au kubakisha 2 tu ambayo inajiendesha kwa mifumo ya kidikteta. Haina competition. Zamani LAPF na baadhi ya mifuko kulikuwa na promotions nyingi kama mikopo nafuu ya elimu, nyumba na promotions zingine. Sasa hivi hii mifuko miwili haina cha promotions Wala nini.
3. Kutokuniongezea mshahara kwa miaka 5 mfululizo huku vifaa vya ujenzi vikipanda bei kila mwaka. Nondo iliyouzwa 14 miaka 5 iliyopita sasa elfu 20, cement kutoka sh.elfu 10-12 sasa elfu 15 hii ni bei ya Dar sijui huko mikoani na wilayani.
Usipomsanehe wewe pia hutasamehewaMagufuli Rais mstaafu kafanya mengi mazuri kwa kipindi chake. Lakini ikumbukwe kosa halifutwi kwa kutenda wema bali kwa kulirudia na kutubu au kulifuta.
Kwa upande wangu mambo haya machache ninayaita makosa ya Magufuli ambaye hapaswi kusamehewa;
1. Kuondoa fao la kujitoa kwa watumishi wa umma na taasisi binafsi.
2. Kuvunja mifuko ya hifadhi ya jamii na kuuunda au kubakisha 2 tu ambayo inajiendesha kwa mifumo ya kidikteta. Haina competition. Zamani LAPF na baadhi ya mifuko kulikuwa na promotions nyingi kama mikopo nafuu ya elimu, nyumba na promotions zingine. Sasa hivi hii mifuko miwili haina cha promotions Wala nini.
3. Kutokuniongezea mshahara kwa miaka 5 mfululizo huku vifaa vya ujenzi vikipanda bei kila mwaka. Nondo iliyouzwa 14 miaka 5 iliyopita sasa elfu 20, cement kutoka sh.elfu 10-12 sasa elfu 15 hii ni bei ya Dar sijui huko mikoani na wilayani.
Tusijidanyanye, usiposamehewa na watu uliowakosea, usitarajie kusamehewa na Mungu. Ndio maana Mwenyezi Mungu ametuonya kutengenezea Mambo yetu kabla hazijaja siku zetu mbaya (kifo)
.
Kusamehewa na muumba kunategemea na Dua na Sala za aliowaacha,Kama went wanalia naye atalia huko alipo
Andika (Rais aliekufa.)
Raisi mfu.