Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,551
- 49,436
Wale waliokuwa wakimsifu Bungeni kabla ya kufungwa mdomo mbona kama alikuwa mbele yao?Jinsi ulivyoelezea ni kama huyo mtu bado yuko hai.
Msamehe tu mkuu, muache apumzike kwa amani.Wale waliokuwa wakimsifu Bungeni kabla ya kufungwa mdomo mbona kama alikuwa mbele yao?
Haya ngoja niangalie uwezekanoMsamehe tu mkuu, muache apumzike kwa amani
Sawa😄Haya ngoja niangalie uwezekano
Ningeweka hayo huenda uzi wangeubeba na majiKwa kichwa hicho cha uzi nikadhani utaongelea:
✓Utekaji.
✓Ubambikiziaji kesi feki kwa wasio na hatia.
✓nk
Ahahaha.Kwa kichwa hicho cha uzi nikadhani utaongelea:
✓Utekaji.
✓Ubambikiziaji kesi feki kwa wasio na hatia.
✓nk
Sasa nimwiteje?Hapo kwenye (Rais mstaafu)hujatenda haki andika kilichotokea.
Andika (Rais aliekufa.)Sasa nimwiteje?
Rais mteule?
Mungu wa jiwe !!!Kutubu kwa Mungu wake inatosha kusamehewa makosa yake
Hata kama amekufa hatumsamehi. Mbona Hitler hajasamehewa?Jinsi ulivyoelezea ni kama huyo mtu bado yuko hai