Kwanini sitaki kupata mtoto

Yaan Uzi wako nimesema theruth tu nakuona hata kuchamba mwenyew mavi yako bado
 
I wish na wewe usingezaliwa ama kulelewa na wazazi wako. Itakua walifanya makosa. Huo ni ubinafsi live ndugu
 
Well,inawezekana pia unajustify uhanithi wako wa mbuzi .Sisi tutajuaje kama sio sizitaki mbichi hizi?
 
Naungana na wewe 100% pia na jamaa wa india yule alie washtaki Wazazi wake kwakumleta dunian bila lizaa yake hafu wanamfanya tegemezi kiasi kwamba anapata hasira


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa maisha yako sisi yanatuhusu nini!? Endelea na kufuru zako moyoni. Haina haja ya kuja kuropoka huku!!!!!
 
Hnatafuta attention tu wewe huna lolote.
Whats the point ya kufanya kazi na kuwa na mafanikio yote kama huna wa kushare nae. As you mature you will understand that.
 
Nakupongeza mtoa mada kwa mawazo huru na uwezo wa kueleza yaliyo moyoni mwako.
Ningependa kuongezea points chache zaidi kusupport maamuzi yako ya kutokuwa na mtoto, kinda "There shall be no any descendants from me":


a) Mateso
Tuliopo duniani tunapitia mateso katika vipindi mbalimbali/tofauti vya maisha yetu kama vile magonjwa, msongo wa mawazo n.k. Na ni lazima kila mmoja apitie. Hivyo kuwa na mtoto ni kumuExpose yeye directly na mateso yasiyoepukika.

b) Namna ya kuja duniani.
Ni njia ya mateso makali hasa kwa akina mama. Wanapitia complications nyingi kama vile kubeba ujauzito kwa miezi tisa, kujifungua, na malezi. (Hapa wamama wanaweza kuelezea vizuri zaidi). Ili kuepusha hayo yote ni bora kutokuwa na, au kutoleta, mtoto duniani.

c) Namna ya kuondoka duniani (Kifo)
Ni ukweli usiopingika kuwa kifo huogopwa na wengi kwa kuwa ni namna ya "kikatili" ya kuondoka duniani. Ili kuonesha huruma na kuwaepusha watoto na "njia" hii ni bora kutowazaa kabisa (kutowaleta duniani).

d) Maisha baada ya kifo
Hadi sasa bado hatuna "certainty" ya kinachofuata mara baada ya kifo. Dini tulizonazo zimejaribu kuelezea yatakayotokea kama vile incarnation (kuzaliwa upya ukiwa kiumbe kingine), adhabu ya moto (au kwenye ziwa la moto), adhabu za kaburi n.k. Of course kila imani ina maelezo yake na kwa ujumla yanaonesha "kutisha" au kutoa indication kwamba hali si shwari huko mbele. Kwa kuwa sisi tuliopo duniani hatuna certainty ni vyema pia kutoleta viumbe vingine zaidi, maana vitakuwa kwenye "same vicious cycle".

e) Utatuzi wa matatizo ya viumbe vilivyopo duniani.
Hii inataka kufanana na point (a). Viumbe vilivyopo duniani duniani vinapitia matatizo mbalimbali kama vile umasikini uliokithiri, magonjwa, uyatima, matatizo ya akili n.k.
Hivyo, badala ya kuleta viumbe wapya duniani ni bora kutatua matatizo yaliyopo na yanayowakumba viumbe wa duniani, maisha yatakuwa na maana zaidi.

Generally, kutowaleta watoto duniani ni kuonesha kuwajali na kuwahurumia kwa sababu hatuwaExpose na yanayotokea hapa duniani, kifo na tunayoambiwa yatatokea baada ya kifo.

Anyway, huo ni mtazamo wa upande mmoja na si jambo baya kuwa na mtazamo mbadala (tofauti na ilivyozoeleka katika jamii zetu).

Nawasilisha.
 
Hnatafuta attention tu wewe huna lolote.
Whats the point ya kufanya kazi na kuwa na mafanikio yote kama huna wa kushare nae. As you mature you will understand that.
Hivi umesoma vizuri huu uzi?au umekurupuka tu kujibu?
 
Kweli sio jambo baya,asante kwa kukazia sababu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…