sasa kwanini ulimtukana tena kwakauli Kali ..wakati umeonyesha kutambua Uhuru wake ktk hiyo sentensi yko ya mwishohaya kaka kila la heri katika zoez lako.
mana hilo ndilo chaguo lako na kila mmoja na mtazamo wake katika hilo.
Sidhani kama watanzania watakuelewa, nimekuelewa sana.
Nikola Tesla siwamjua mkuu ..!?Afya ya akili ni kuwa na uwezo na maamuzi binafsi na kuwa na tabia za kawaida kama watu wengine na kuweza kujitambua wewe binafsi ni nani.
Ukiwa na akili timamu kabisa swala la kuwa na familia lazima utalitarajia tuu na utapenda iwe hvyo na si vinginevyo,lkn kama ni kinyume chake basi kuna tatizo ktk akili (si tusi) kwa kuwa umewaza yale ambayo katka jamii ya kawaida hayapo.
Huwa inasababishwa na mengi lkn jaribu kaa na kufikiria usahihi wa maamhzi yako.
Kiukweli kabisa unahitaji msaada kusaikolojia kuondokana na hiyo hali.
hahaaaKwa maana hiyo na wewe ni mficha uchi??
mimi mwenyewe nimemuelewa mnooo..Sidhani kama watanzania watakuelewa, nimekuelewa sana.
Fuata unachopenda.
Kuwa na mtoto si lazima.
Wala jamii isikuwekee msukumo wowote.
Ukiwa unafurahia maisha yako bila watoto ni sawa tu.
Nashkuru kwa kunielewa mkuu,yes ni mipango yao wala hawakunishirikishahuna makosa mkuu ..uko sahihi kabisa ..kwanza wazazi wako wewe ulikuwa huwajui nawala hukuwa nampngo wakuwajua ama kuja duniani. yaani in short hukuwa nashida hiyo...nimipngo yao wenywe binafsi iliyosabbisha kukuzaa kama hvyo ulivyosema
Haha mwanzoni alinitukana sababu alitumia hisia zaidi baada ya kuanza kutumia logic nadhani ndio akanielewa ninamaanisha ninisasa kwanini ulimtukana tena kwakauli Kali ..wakati umeonyesha kutambua Uhuru wake ktk hiyo sentensi yko ya mwisho
NalendwaWenzenu wengi hawajam support, how come you're?, from a man's perspective!..
Nashukuru kwa kuheshimu na kunielewa mawazo yangu.Nalendwa
Who the cape fit let them wear it
Maamuzi ya kutokuwa na mtoto ni jambo binafsi.
Mleta mada ameona hivyo ndiyo inampendeza....who am I to tell differently?
I have my opinion but I can't tell people what to think.
Hapo unaona nime-support unamuzi wake kwa sababu naheshimu uhuru wa kuchagua.
Yes I'm pro choice.
Kuhusu wachangiaji wengine (me) kumpinga naweza sema hiyo inasababishwa na patriarchal mentality.
Kwamba watu wote wanapaswa waone maisha kwa mtazamo mmoja tu. That is wrong.....I don't support
Infact ultokea tu bahati mbaya wazee walkuw na starehe zao. [emoji13] [emoji13]Kwani nilichagua kuja duniani?wao si ndo walikua na malengo na mimi?na mimi kutozaa ndio malengo yangu.
Kwahiyo kila mtu azae hata kama hafit kua mzaz?i?sisi ni wanyama tuliopewa free will(choices)na akili na muumba wetu tofauti na wanyama wengine ambao hawana uwezo.tutumia choices zetu vizuri bila kumuathiri mtu au kumkasirisha muumba wetu.Kila mtu angewaza na kuishi kama unavyonena hii dunia kungebakia mijusi tu