Hahahaha jamaa kavurugwa huyoNaungana na wewe 100% pia na jamaa wa india yule alie washtaki Wazazi wake kwakumleta dunian bila lizaa yake hafu wanamfanya tegemezi kiasi kwamba anapata hasira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa ni TASA AU MGUMBA unaitaji msaada wa kimawazo hizi ni hasir sababu uwezi kuzalisha wala kuzaa.Kwani nilichagua kuja duniani?wao si ndo walikua na malengo na mimi?na mimi kutozaa ndio malengo yangu.
Sio mgumbaWe jamaa ni TASA AU MGUMBA unaitaji msaada wa kimawazo hizi ni hasir sababu uwezi kuzalisha wala kuzaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeisoma vizuri sana, na nnaelewa vizuri tu. Unavoplan vitu vyako jaribu kuangalia mbali, mfano 20 years from today, au 30. Af jiulize ikifika kipindi hicho utakua una mawazo gani. Kuna kipindi nilikua nafanya kaz ambayo ilikua inadeal na funds za wafadhili kutoka nje. Wale wazungu wanakua wazee, wana mali nyingi lakini hawana watoto, wanajutia sana coz wanajua maisha yao yote wamefanya kazi lakin hawana wa kumrithisha mali zao. As a man one of the proudest moments ni kuona mwanao amekua na anjielewa na anaweza kumake something in this world. Kuoa ndo sio lazima na hamna umuhimu. Lakini watoto ni kitu kingine kabisa.Hivi umesoma vizuri huu uzi?au umekurupuka tu kujibu?
Nimeisoma vizuri sana, na nnaelewa vizuri tu. Unavoplan vitu vyako jaribu kuangalia mbali, mfano 20 years from today, au 30. Af jiulize ikifika kipindi hicho utakua una mawazo gani. Kuna kipindi nilikua nafanya kaz ambayo ilikua inadeal na funds za wafadhili kutoka nje. Wale wazungu wanakua wazee, wana mali nyingi lakini hawana watoto, wanajutia sana coz wanajua maisha yao yote wamefanya kazi lakin hawana wa kumrithisha mali zao. As a man one of the proudest moments ni kuona mwanao amekua na anjielewa na anaweza kumake something in this world. Kuoa ndo sio lazima na hamna umuhimu. Lakini watoto ni kitu kingine kabisa.
Ndo maana nkakuambia uki mature utaelewa.
Duh
Nimekuelewa mkuu,ila mpaka nimefikia uamuzi huu nakua nishajua ntafanya kitu gani zikitokea situation kama hizo.Nimeisoma vizuri sana, na nnaelewa vizuri tu. Unavoplan vitu vyako jaribu kuangalia mbali, mfano 20 years from today, au 30. Af jiulize ikifika kipindi hicho utakua una mawazo gani. Kuna kipindi nilikua nafanya kaz ambayo ilikua inadeal na funds za wafadhili kutoka nje. Wale wazungu wanakua wazee, wana mali nyingi lakini hawana watoto, wanajutia sana coz wanajua maisha yao yote wamefanya kazi lakin hawana wa kumrithisha mali zao. As a man one of the proudest moments ni kuona mwanao amekua na anjielewa na anaweza kumake something in this world. Kuoa ndo sio lazima na hamna umuhimu. Lakini watoto ni kitu kingine kabisa.
Ndo maana nkakuambia uki mature utaelewa.
Haya maisha kila mtu mbinafsi kwa maslahi yake na familia yake,hata nkiwa na watoto ntakua mbinafsi kwa kwa jamii ili familia na watoto wangu wafaidike..umetoa ushauri mzuri akitulia atauelewa MAWAZO NA MISIMAMO UNAYOWAZA ukiwa 30 SIO SAWA NA UTAKAYOWAZA UKIWA 50 AU 60.
haka katabia kameenea sana kwa mabinti wa kizungu wakishazeeka ndo wanakumbuka kuzaaa hawaja zaa kuolewa hawajaolewa. vinaishia kuja africa kutafuta mboo. wanaadopt watoto wanakuja kua pasua kichwa.
mleta mada pia tibu ugonjwa wa ubinafsi utaona mabadiliko.
Haya maisha kila mtu mbinafsi kwa maslahi yake na familia yake,hata nkiwa na watoto ntakua mbinafsi kwa kwa jamii ili familia na watoto wangu wafaidike..
Ubinafsi upo na hauepukiki,huoni mwenye nacho anaongezewa,huoni hata watu wakipata nafasi wanavofaidi wao na familia zao huku walio kwenye jamii wengine wakitaabika
Amini nakuambia; hizo pesa anazosema atazisaka vizuri ukiwa hauna mtoto hautoweza kuzipata kama hitaji la moyo wako linavyosema kama hauna wategemezi.
Familia ndio wategemezi wako wa kwanza na kuwapa huduma hakuepukiki hivyo lazima utafanya kazi kwa bidii ili waishi vizuri na kupitia wao maisha yako yatazidi kunawili.
Msela hulizika na kidogo anachopata kwakuwa kinakidhi mahitaji yake tofauti na mtu mwenye majukumu ya kifamilia.
Itafika wakati utajiuliza hizi mali namtafutia nani na watoto sina? Tayari nguvu ya kutafuta itapungua.
mmmh nahisi utakuwa na tatizo mkuu.Watoto ni faraja watoto ni balaka.unaona tabu kupoteza muda wako kulea mtoto eti mpaka afike miaka ishirini ndio aanze kujitegemea.
Je wewe una mkataba na mungu,unajua utaishi miaka mingapi.Sikia mkuu maisha ya ujamaa yalishapita tangu enzi za nyerere ambao nyumba moja mnaishi ukoo mzima au mtoto wa kaka yako au Dada yako atakuheshimu sawa na mzazi wake .Sasa hivi kila MTU na mtoto wake mtoto wa kaka yako wa Dada yako ajisikie kukusaidia kama hajisikii huna cha kumfanya kzazi hiki kimevurugwa.
Ushafikilia una Mali zako una mihera ya kutosha alafu umezeeka na unahitaji msaada je nani wakukusaidia uzeeni zaidi ya watoto wako muda ambao huna nguvu Tena za kufanya lolote.