Kwanini sisi lakini ah kwanini Africa iko nyuma

Kwanini sisi lakini ah kwanini Africa iko nyuma

Tatizo la bara la Afrika hatuheshimu ubunifu wetu.
Fikra za mwafrika zipo kwenye kuiga ubunifu wa wengine.

Mataifa yote yaliyo endelea yameanza kuwekeza kwenye ubunifu.

Wabunifu wa bara la Afrika hawapewi ushirikiano kutoka serikali zao wala matajiri waliopo kwenye bara hili.
Hatuwezi kupata maendeleo kama hatuendelezi ubunifu wetu.
Hata hizo akili za kuiga ubunifu hatuna, maana China amevushwa na kuiga na kufyatua bidhaa za wazungu ila kwa gharama nafuu na ubora mdogo lakini umeniwezesha leo mimi niwe na smart phone na TV na bodaboda yangu
kwa gharama nafuu.
Kwa sasa hakuna cha kuiga tena maana China amemaliza, angalau tungejua kukomalia rasilmali zetu kama waarabu walivyokomalia mafuta na gesi mpaka yamewavusha
 
Afrika tunaamini kwenye miujiza ya Abra Kadabra. Tunapishana makundi kwenda kwa waganga, manabii na mashehe wasoma nyota.
 
1. Dini
2. Dini
3. Dini
4. Elimu
5. Siasa uchwara za kuuwana sisi kwa sisi
6. Tribalism.
Bila hizi TAKATAKA tajwa hapo juu tungekuwa na maendeleo makubwa zaidi ya nchi yoyote ile duniani
 
Back
Top Bottom