Kwanini sipati mpenzi kama vidume wengine?

Isije ikawa wamekupiga Juju/ kipapai sali sala ya kuondoa nuksi, rekebisha mavazi unayovaa, jitazame jinsi unavyoongea.
Kaka hili jambo nimelifikiria sana.. Yani uko kwenye mawazo yangu!
 
Pindi npo form six na utundu wangu wa kudanganya kucheza na hisia za Hawa viumbe nilikula mdada anajielewa ni mtangazaji wa radio flan local hapa kitaa dada flan mweny pigo za ki slay queen nilichogundua kuhusu wewe


Tatizo ukijibiwa shit unakata tamaa mapema

Approach zako mbovu


Mwonekano wako uvaaji wako pia unachangia

Huna hela japo hii sio main point kwa mademu wa kitaa maana kwa bajet ya 20000 unaitumia mpka unamiliki hapo sjui vocha, salun nk

Domo zege


Embu anza kuji evaluate hapa halafu cha muhimu punguza uoga embu jiamini bana
 
Tafuta pesa hao wanawake watakuja wenyewe
 
Ukiwa unatongoza hakuna mwanamke atakaekuamhia yuko peke yake never, Halafu na wewe usimuulize kama una mtu au huna na hata kama akikuambia ana mtu we endelea kufukuzia tu uone kama utachomoa, mtumie vizawadi, mtumie vocha kama unaweza fasta unachukua zigo
 
twende mbele turudi nyuma kupata wakuo wakt ukiwa 30yrs na kuendelea kazi sana, cha kushauri hapo anza kuruka na girl wa miaka 18-24.
lakin kuanzia 25 nakuendelea mara nyingi wanakuwa tyr washakuwa na watu wao wanaowafikiria..
 
Baadhi ya nyuzi za kufungia mwaka 2020 zinachekesha sanaπŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…