Kwanini sipati mpenzi kama vidume wengine?

Ngojea nikufundishe kitu kimoja
Hakuna mwanake yyte duniani anae weza kutongozwa na mwanaume akakataa
Ukiona ww mwanaume umemtongoza bint/mwanamke kakataa basi ujue ww mwanaume hujafuata protocol
Ukifuata protocol hakuna mwanamke yyte duniani anae weza kukukataa
Zingatia hilo my friend
 
La

Mawazo na experience ya kwako.
Nimepita page ya kwanza mtoa uzi anasema anaona "washamba ndio wanaomiliki pisi kali " huku yeye wanawake wanamkataa sasa kwa hii tu kauli utaona mtoa mada ndo mana anakwama kupata mwenza

Nilichokiona kwa mtoa inabidi azidishe hekima ukiwa na hekima na ukiheshimu kila mtu kila mwanamke yoyote atapenda kuwa na wewe
 
Sikiliza Boss, kwa uzoefu wangu mdogo na unaonitosheleza ninaamini kuwa Kila mtu ana mtu wake, yaani hata My wangu ana My wake lakini hilo halinizuii mimi kufurahia na My wangu.

Ninachokiona ni kwamba kila unapowafuata wanakwambia wana 'My wao' wewe unakata tamaa unatafuta mwingine nae anakujibu vivyo hivyo and that goes on and on

Hebu tafuta mmoja makinika nae akikwambia ana 'My wake' usikate tamaa mthibitishie kuwa wewe unamstahiki zaidi kuliko 'My wake'

Jifunze kwa wanaokula wake za watu.
 
Mkuu kumbe umeolewa
 
Huna hela
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…