Kweli chief huyo jamaa aliyetoa hiyo video ni apple fan boy lakini wazungu wako tofauti kwenye ukweli wanakubali hiyo channel ya apple lakini kaikubali samsung ila watu humu wanakupinga ukweli utabaki ukweli tuHayo unayoongea ni mengine, zote ni simu zinauzwa dola 1000 kwanini Apple hajaeka 6gb ram na octa core processor? Ingekuwa hio iphone inauzwa bei rahisi argument zako zingekuwa valid ila sababu zinauzwa bei sawa argument zako zinampa sifa zaidi samsung kwamba anaweka vitu zaidi kwa bei ile ile kama ya iphone?
Kuna kipindi die ya Apple A series soc ilikuwa ni kubwa kuliko baadhi ya processor za computer, nikisema die namaanisha ukubwa wa ile processor, sikuwahi sikia fans wa Apple wakikosoa kwamba simu zao zina nguvu sababu ya Die kubwa, makampuni ya Android hawakuwa na luxury kama hii sababu ya cost.
Sasa hivi samsung ameongeza bei ya simu na vile vile die ya exynos sasa hivi ni kubwa na hata perfomance imeongezeka sana compare na snapdragon ndio maana unaona Apple anapitwa kwenye game yake mwenyewe mfano umeona mwenyewe kwenye hio video ambayo imetoka kwenye Apple pro site, vitu kama ku export 4k na ku render Apple alikuwa na advantage, simu za Android hazikuwa vizuri kwenye kurender video.
Na unapozungumzia simu hazina photoshop ama productivity kwq ujumla sidhani kama ni weakness ya Android pekee bali hata ios, os zote mbili ni ma toy tu compare na os za productivity kama windows na linux distro
iPhone 6s, iPhone SE, na iPhone X ni models ambazo zimekua discontinued.
Kilichonishangaza ni discontinuation ya hii iPhone X ambayo ni ya mwaka jana tu. What's the reason behind wadau?
The Only Loser at Apple’s Latest Event Is Your Wallet
http://time.com
Tumezoea biashara zinaendeshwa kwa mwenye biashara kutoa bidhaa inayoangalia maslahi ya mteja. Ila naona Apple design flani sasa imeanza "wachoka" wateja masikini.
Sasa hata headphone port Ndo hakutakuwepo tena. Na bado kuna mtu atakuja tetea hilo as if kutumia earphones haina ufanisi kwa mteja.
Na hizi bei, emb tusubiri zikishatoka, tuone mmoja wa Apple fanboys huku ndani atuletee japo mrejesho wa kutumia iPhone XS Max.
Kuna mtu alisema double line ni Android tu, polepole Apple naye anaanza adopt that trend (kaanza na eSIM as complementary SIM to a physical SIM in the device).
Limitations zipo, ila hili la kufuta kabisa headphone support all together...asee mjiandae kuspend another $150 utakaponunua the next iPhones au Bluetooth earphones za kucharge kila mara.
Apple is slowly cutting its enthusiastic fans from its next Gen iPhones.
Mwisho wa siku wateja wao watakuja ringa kutumia teknolojia ambayo Android tushaitumia miaka mi4 kabla yao. Na wao sasa wameamua kuja na maPhablet.Aisee tayari imetoka bana kumbe,sikuelewa ulichoandika.
Naona ram wana 4gb,dual sim naye iphone imebidi akubali matokeo.halafu screen si haba kaingia nayo.
Kweli huwezi biashana na mabadiliko.
Mwisho wa siku wateja wao watakuja ringa kutumia teknolojia ambayo Android tushaitumia miaka mi4 kabla yao. Na wao sasa wameamua kuja na maPhablet.
Sio tu foleni kubwa, iPhone X haikufanya vizuri kama walivyotegemea.Hahaa wakati si milele,visimu vya kuchungulia tuliisha achana navyo miaka 10 iliyopita.raha ya simu uisikie mkononi.
Naona waeamua wa quite iphone x ili izipishe hizi,maana foreni ingezidi kuwa kubwa.
Binafsi natamani kuwa na iphone kwa maana ya ubora na status, lakini ni jambo lisilopingika kuwa kwa mtu mtukutu wa devices sio simu inayompa uhuru, mfano kama kijana anataka kuandika program au application kisha ai test katika simu yake katika iphones haiwezekani,lakini kwa androids(ikiwepo samsung) kuna uhuru mwingi.With android phones kwa mtu mbunifu unaweza ifanya simu yako kuwa kama superphone ya ryan leslie wakuu.Aisee tayari imetoka bana kumbe,sikuelewa ulichoandika.
Naona ram wana 4gb,dual sim naye iphone imebidi akubali matokeo.halafu screen si haba kaingia nayo.
Kweli huwezi biashana na mabadiliko.
Hivi bro ushaonaga na kujua current benchmarks Flagship gani inaongoza? The day Huawei P20 Pro imetoka the next week iliicrush vizuri tu iPhone X kwenye benchmark testings.
Na P20 Pro ndo imekuwa simu yenye camera kali zaidi, kiubunifu, tech iliyotumika, na hadi ubora wa picha za usiku.
One Plus 6 can go toe-to-toe with the X and come out clean, talking about handling heavy game sessions and everything a power user can throw at it.
All in all, tukisema tubishane bila facts huu uzi utaishia tu kuwa wa "fanboys", Android fanboys Vs. iOS fanboys. Na binafsi naona ni poa kama tukielimishana juu ya tofauti za hizi aina mbili za mifumo ya simu na tech.
Kwa kiasi (na sitakataa ukinielezea zaidi kwa ujuavyo wewe!).Unajua maana ya benchmark kwanza???
You talk like a nerdy who live in a van down the river. Apple chop your money at high end amount the thing is IPhone user have been brainwashed to no brain with apple, look at this. 2018 and your big elephant hasnt chopped your money fairlyIphones ram ndogo ila processing speed ni kubwa kuzidi simu za android zenye ram kubwa zaidi.
Iphones kama ilivyo kwa brand nyingine naye ananunua camera toka kwa Sony, chakushangaza picha zake zinatoka clear zaidi hata ya Sony wenyewe.
Kifupi hadi leo Iphones haziapata mbadala kwenye high end phones.
Sio hujajutia hela yako. Unaongea kwa ku compare your old /consumer Android devices with iPhone 8 plus (their recent development). The fair placement is a side by side comparison with up to age premium flagship (not tecno, or any low end devices).Nimewai Tumia Samsung S3, then note 4. Baadae Nikatest Huawei na Tecno. Lengo lilikuq kujua hasa ladha na uzuri hususani baada ya kuona watu wanaongea ongea sana. Kila simu hapo juu, niliitumia kwa kipindi kirefu cha kuweza kujua uzuri na ubaya wa kila moja. Baada ya kupita kote huko, nikajilipua nikanunua iphone 8 plus. Ukweli ni kwamba, sijajutia hela yangu maana simu ina ladha asikwambie mtu. As well kuna vionjo fulani hivi ambavyo simu zangu zote za nyuma hazijuwa na huo uwezo. Apple Devices for sure are in another level. Comment yangu hii imebase from practical experience. Sina utaalam sana wa kuchambua jinsi iphone hii ilivyo but kuna tofauti kubwa sana na hizo samsung, huawei na tecno ambazo nilishawai kutumia.
Binafsi natamani kuwa na iphone kwa maana ya ubora na status, lakini ni jambo lisilopingika kuwa kwa mtu mtukutu wa devices sio simu inayompa uhuru, mfano kama kijana anataka kuandika program au application kisha ai test katika simu yake katika iphones haiwezekani,lakini kwa androids(ikiwepo samsung) kuna uhuru mwingi.With android phones kwa mtu mbunifu unaweza ifanya simu yako kuwa kama superphone ya ryan leslie wakuu.
Ila nikipata pesa ntatafuta iphone ila simu ya android kama samsung au xiaomi lazima niwe nayo pia
Kuangalia virtual reality video
Kila siku nafatilia fragship, we ndo fatilia, hakuna cm zinazotoka wakauza juu ya iphones, labda kwa special edition, ukiuza juu ya iphone, its simple, hupati watejaMkuu bei pia tubishane? Si rahisi tu kila manufacture akizindua simu anataja na bei atakayoiuza hio simu?
Eka video ya ushahidi?Kuangalia kivip, maana nimeziangalia youtube from an iphone
Mtabwabwaja sana
Wapi nimesema wanauza bei juu ya iphone? Naomba uniquote.Kila siku nafatilia fragship, we ndo fatilia, hakuna cm zinazotoka wakauza juu ya iphones, labda kwa special edition, ukiuza juu ya iphone, its simple, hupati wateja
Samsung mwenyewe kashindwa
Utupe maelezo sasa,hiyo apecha pecha lololo,ipi kubwa na ipi ndogo,
Taja wewe bei zako basi. Oppo Find X ilivyozinduliwa ilitajwa bei yake ni $1000.