Ni kweli iphone ni nzuri na imara pia ila kinachokera ni kuwa ina limitations kibao, yaani kuna kale ka muunganiko baina ya devices mfano simu na kompyuta, ukiwa na samsung au tecno huhitaji software ingine kihamisha data, ni plug&play unahamisha. Ila ukiwa na iphone huwezu had itunes ihusike. Pia downloads zake hovyo tu.Nimewai Tumia Samsung S3, then note 4. Baadae Nikatest Huawei na Tecno. Lengo lilikuq kujua hasa ladha na uzuri hususani baada ya kuona watu wanaongea ongea sana. Kila simu hapo juu, niliitumia kwa kipindi kirefu cha kuweza kujua uzuri na ubaya wa kila moja. Baada ya kupita kote huko, nikajilipua nikanunua iphone 8 plus. Ukweli ni kwamba, sijajutia hela yangu maana simu ina ladha asikwambie mtu. As well kuna vionjo fulani hivi ambavyo simu zangu zote za nyuma hazijuwa na huo uwezo. Apple Devices for sure are in another level. Comment yangu hii imebase from practical experience. Sina utaalam sana wa kuchambua jinsi iphone hii ilivyo but kuna tofauti kubwa sana na hizo samsung, huawei na tecno ambazo nilishawai kutumia.
Ninayo hapa hTC One M8 32 GB safi sana kwanza heshma ipo ukitoa Tecno na militia yangu naheshimika zaid
Kilaza ni yule anayetumia kwa kutaka sifa tu. Mtoa post katoa hoja nzito wewe ipinge kwa hoja yako. Taja specs za iphone unayotumia kama ni zaidi ya ulizotaja.
Mbwembwe nyiiiingi. Hamna kitu
Hivi bro ushaonaga na kujua current benchmarks Flagship gani inaongoza? The day Huawei P20 Pro imetoka the next week iliicrush vizuri tu iPhone X kwenye benchmark testings.Nambie kitu kimoja tu sim yoyote ya android inachoipita iphone, kimoja2 katika functionality
fafanua.... me nmetumia htc kadhaa....Naunga mkono hoja kwa aliyewahi tumia HTC yoyote ile hatakuwa ananielewa!!
Asante... maana ww unazijua kamera....Hapo kwenye megapixels, mimi sio mtaalamu sana wa camera lakini katika simu usiangalie megapixels peke yake, angalia kitu kinaitwa aperture.
Mfano sasa hivi simu nyingi zina 12mp lakini tofauti inakuja kwenye aperture. Ukitaka kuijua aperture, kwenye sites mbalimbali zinazoweka specifications za simu utaona kwenye camera wanaandika 13mp, f/1.8 sasa hiyo f/1.8 ndo kitu cha kuangalia zaidi.
The less it is in figures, the higher the quality of the pic.
Hivyo hata kwenye iPhones ni kweli hawana zile mbwembwe za 16mp, ila aperture is what matters.
Ulishindwa kutumia.... huo ndio ukweli.... tunaishi kwa mazoea....Nilikua nawatamani wanaotumia iphone kiasi kwamba niliamua kuchukua i6+. Hakika sikumaliza nayo wiki. Inaboa sana.
Nimerudi samsung kwakweli.
Kimtazamo huku kwetu ni kwamba mtu anayetumia iphone, anaonekana ni mwenye hadhi. Nimesema kimtazamo tena kwa watu tuliokosa elimu na kukaa na watu wengi tukajua dunia ilivyo.
Kwa upande wangu, iphone haina lolote kwakweli kumzidi samsung
kuanzia s7 wana model za duo.... pia nmetumia sony xperia z3+ na yenyewe ni duo....Nani Kasema lazima uwe na Itunes?
Kwa Ajili ya nini Bluetooth? kurushiana picha na video? Hizo mambo ni old fashion mkuu. Tangu nianze kutumia iphone sijawahi kuona kitu kwa mtu akisha nkakiomba kurushiwa kwa bluetooth.
Msala wake ni upi? kama local developer hajatengeza app, hilo ni kosa la Apple?
Use another Browser if you cant donwload via Safari
Hii na 12 naona zinagongana, how can you say Poor documents perusing and management, halafu unasema NO file management app?
Buy one with 256 GB tatizo liko wapi mkuu?
Kivipi?
IOS ni Poor ecosystem? 😱 Bado huna uhakika na unachoongea ndugu yangu.
How is it poor? Android wanafollow the same Back button. Hakuna tofauti ya app navigation kwenye ios na Android. Insta , whatsapp n.k navigation ipo ivo ivo.
Zile simu fake tangu miaka 2005 ivi i think dual sim zilikuwepo. How is it an issue? Samsung S series kwani ni dual sim cards? Au SONY Xperia? Dual sim unakuta kwenye vitecno na wenzake tu.
Kama ni mtumiaje wa iphone hasa, huwezi kusema ichi kitu. File explorer zipo nyingi tu.
Safari is called a default browser kwa sababu ios inakuja na hio browser ikiwa tayari pre installed. Options zipo nyingi tu mbona.
Mfano kama zipi?
Samsung alimcheka Apple alivoweka Notch kwenye simu. Sasa anaetengeza Android ametoa tolea la OS kwa ajili ya simu zenye notch, na sasa Android nyingi zinafuata njia hio....
APPLE anawaburuta bado.
Ikiwa wewe sio power user, kazi yako ni kupiga na kupokea simu, apple wanaona haina haja ya kuwa na simu ambayo huwezi kuitumia power yake in full.
Samsung na wenzake simu unazikuta zina specs kubwa mara 8GB ram, processor octa cores, lakini ukitizama perfomance unakuta hata iphone 4s inawakimbiza
Kuangalia virtual reality videoNambie kitu kimoja tu sim yoyote ya android inachoipita iphone, kimoja2 katika functionality
Mkuu bei pia tubishane? Si rahisi tu kila manufacture akizindua simu anataja na bei atakayoiuza hio simu?Hizo bei umeziona au unataja ilimradi tu
Chief, out of all sio wewe wa kucompare 2017 iphone na 2018 Samsung and then ukasema Apple when it comes to perfomance wana lag behind sasa.Mkuu toka kitkat kuendelea na vitu kama project treble advantage ya software optimization kila siku anapoteza Apple.
Siku hizi simu za android zina boot haraka, zinafungua apps upesi, zinafanya multitasking vizuri kushinda iphone. Sipendi kucompare simu kwa hivi vitu sababu ni utofauti wa sekunde tu ila sababu wewe unapenda angalia video.
Everythingapllepro ame upload hio video fan wa iphone na mwenyewe amekiri.
Hapo bado Android unaweza ukaifanya iwe faster zaidi kwa kudisable animations.
Taja wewe bei zako basi. Oppo Find X ilivyozinduliwa ilitajwa bei yake ni $1000.Hizo bei umeziona au unataja ilimradi tu
discontinued kivipi si imetoka s yake auiPhone 6s, iPhone SE, na iPhone X ni models ambazo zimekua discontinued.
Kilichonishangaza ni discontinuation ya hii iPhone X ambayo ni ya mwaka jana tu. What's the reason behind wadau?