Kwanini Siku za Sikuu ndefu Post na Michango hupungua JF?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Ninajiuliza hili swali sipati jibu inamaana asilimia kubwa bado wanatumia internet? za Kazini lakini pia inawezekana kuwa wengi hawana simu zenye uwezo wa ku support internet ?

Pengine hali ngumu ya maisha sasa hamjiungi na bundle na kutegemea internet za office?

Au mko busy na starehe na mambo mengine?

Kichwa cha habari kimekosewa kisomeke Siku Kuu
 
Hiyo tarehe 15 June, 2016,Si ndio karibu jamvi zima litapotea!

QUOTE="Allen Snr, post: 15699632, member: 272540"]Ninajiuliza hili swali sipati jibu inamaana asilimia kubwa bado wanatumia internet? za Kazini lakini pia inawezekana kuwa wengi hawana simu zenye uwezo wa ku support internet ?

Pengine hali ngumu ya maisha sasa hamjiungi na bundle na kutegemea internet za office?

Au mko busy na starehe na mambo mengine?

Kichwa cha habari kimekosewa kisomeke Siku Kuu[/QUOTE]
 
Mkuu jf haitoi bia za bure sisi tupo busy za vinywaji vya bure huku. Hata simu tunazima michepuko isikere nayo.
 
Ninajiuliza hili swali sipati jibu inamaana asilimia kubwa bado wanatumia internet? za Kazini lakini pia inawezekana kuwa wengi hawana simu zenye uwezo wa ku support internet ?

Pengine hali ngumu ya maisha sasa hamjiungi na bundle na kutegemea internet za office?

Au mko busy na starehe na mambo mengine?

Kichwa cha habari kimekosewa kisomeke Siku Kuu

Mapedeshee au Mataita au Ma Don Tuko Wachache Sana Humu JF. Binafsi Nina Bundle La Internet La Kuanzia Leo Hadi Mwaka 2019 Unadhani Sasa Nitaachaje Kutoonekana Humu JF Mkuu? Ulichokiandika Hapo Ni Sahihi 100% Kuwa Members Wengi Ni " Pasi Ndefu Life " Atakayebisha Atakuwa Anatafuta Ligi Tu Isiyo Na Mpango.
 
Kazi za Nyumbani huwezi kutegea ila za Kibaruani rahisi kuzuga kwa kubonyeza bonyeza na ku minimaizi page mbali mbali.
 
Back
Top Bottom